Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.
wewe huyo kwako ndio wa kwanza?
Kwani wewe mlikutana wapi? tuanzie hapo kwanza,:majani7:
More than 15 ? Aisee na Ana umri gani mkeoYah it's true even myself my life has never been perfect ila tu what is hurting me ni hii situation ya kuibuka kwa hizi story kila wakati na watu tofauti. Kuna mtu aliuliza wengi wangapi more than 15
Wadada muwe makini sana na matendo yenu mnayofanya kabla ya kuolewa. Kuna jamaa yangu alikuwa na mchumba,alipokuja kufanya uchunguzi aligundua wakati mdada anasoma chuo cha MUCCOBS alikuwa na historia ya kuwa anagongwa na jamaa watatu kwa mtindo wa m'mande' au 'mtungo'; tena sio mara moja wala mara mbili. Hao jamaa watatu walikuwa wanakaa chumba kimoja na waikuwa wanagonga kwa zamu usiku mzima, na binti alikuwa anajileta mwenyewe chumbani kwao wanakula mzigo. Na ilianza kama utani!! Mdada ni kama alikuwa na pepo la ngono!!
Uchumba ulikufa ghafla.
mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.
mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..
Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi
Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.