Historia ya mke wangu inanikatisha tamaa

Kaka piga moyo konde huna jinsi ama uharibu ndoa au ndo uendelee na maisha
 
Sio kumpekua ila baada ya mimi kusikia kwa watu huwa namuuliza kwa kua tumekubaliana kutokaa na kitu Endapo kitakukasirisha sasa kila nikisikia nikimuuliza anakubali ni kweli mwishowe akaniambia aliona aibu kuniambia yote mwanzoni kwani huenda ningemwacha

Wewe ulimpa orodha yako?
 
Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.

Hahahah acha uoga wewe
 
Hivi mbona mnapenda sana kujitafutia maradhi ya moyo? Unamchunguza wa nini we acha umfumanie haya mambo ya kusema sijuwi unasikia hayatakusaidia.nakushauri achana na huo upuuzi kama katulia na wewe unataka nini tena.
 
Unamwacha mkeo kisa umeambiwa zamani alikuwa ana wanaume. Sasa ulitaka awe peke yake?
Ushauri wangu, kamwe usimwache mkeo hata kama ni kweli alikuwa yuko hivyo. Cha msingi muishi kwenye ndoa yenu bila kuangalia ya nyuma na MUNGU atawabariki.
 
Kama ni kweli..sina hata cha kusema nimeishiwa pozi.yaani wanaume wanakuja nyumbani kwako kudai mtoto ambae wamezaa na mkeo? Na unaruhusu.ukisha cheat kwenye mahusiano sihitaji hata msamaha ni tunaachana for good hata kama tunawajukuu.
[TE=om;4028]mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi[/QUOTE]
 
Mkishaoana epukeni kuzungumzia maisha yenu kabla ya kuoana vinginevyo hamtadumu.
 
mjaribu kama anatoa Tigo basi kaharibika huyo achana nae...ndio maana mm siwezi kujenga future na mwanamke ambae tumejuana ukubwani hata robo
 
mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi

Da! Mkuu yamenikuta kama yako mwaka huu ila uvumilivu umenishinda nimempiga chini dem,,pole sana.Nikirudi kwenye mada me naona huyu wife kaamua kutulia na alimficha hizo ishu kwa maana anampenda.Namshauri asimwache wife.
 
..... 🎶🎵 🎶 🎶🎵 sitajari alishatembea na wangapi kuwa nae maishani naona bahati.... 🎶🎵 🎶

R.I.P Ngwair
 
nadhani kabla ya kuomba ushauri ulipaswa urudie malezi yako kwa kuwa hayajakaa sawa mkuu.
 
Wote wanaokwambia uendelee na huyo Demu wanakudanganya, kama ni kweli alikuwa na wanaume wengi na wote alilala nao ni dhahiri kwamba hata ukiwa naye kwenye ndoa bado ataendelea kutembea na hao jamaa wa zamani au atatafuta wapya, hivyo kazi ni kwako kama uko tayari kuishi na mwanamke anayelala na Wanaume wengine amua kumuoa kama hauwezi basi fumba macho na utengane naye lkn usitengane naye kwa ubaya bali mwambie sababu na uwe mkweli na kamwe usibadili uamuzi na umwambie mwanzoni kabla ya kumwambia sababu kwamba unataka kumwambia kitu lkn kwa masharti asijaribu kukubadilisha uamuzi kwa maana umeshaamua!

Binadamu huwa hatubadiliki na asikudaganye mtu kama alikuwa mwizi atakuwa mwizi tu ni swala la muda na mazingira ni kama fisadi Lowasa wizi uko kwenye DNA hivyo alikuwa CCM aliiba na sasa kaenda ukawa ataiba pia ila kwa staili nyingine lkn lazima ataiba tu hata huko chadema!
 
Wadada muwe makini sana na matendo yenu mnayofanya kabla ya kuolewa. Kuna jamaa yangu alikuwa na mchumba,alipokuja kufanya uchunguzi aligundua wakati mdada anasoma chuo cha MUCCOBS alikuwa na historia ya kuwa anagongwa na jamaa watatu kwa mtindo wa m'mande' au 'mtungo'; tena sio mara moja wala mara mbili. Hao jamaa watatu walikuwa wanakaa chumba kimoja na waikuwa wanagonga kwa zamu usiku mzima, na binti alikuwa anajileta mwenyewe chumbani kwao wanakula mzigo. Na ilianza kama utani!! Mdada ni kama alikuwa na pepo la ngono!!
Uchumba ulikufa ghafla.

Aisee huyo Dada yuko wapi Mimi napenda ma vitu yaliyokubuhu
 
Kama ni kweli..sina hata cha kusema nimeishiwa pozi.yaani wanaume wanakuja nyumbani kwako kudai mtoto ambae wamezaa na mkeo? Na unaruhusu.ukisha cheat kwenye mahusiano sihitaji hata msamaha ni tunaachana for good hata kama tunawajukuu.
[TE=om;4028]mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi
[/QUOTE]

wewe bado ujakamilika kuwa mwanaume
 
mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi

Aisee wewe jamaa unastahili udaktari Wa heshima au Noble peace prize
 
Back
Top Bottom