Historia ya mke wangu inanikatisha tamaa

mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi

Hahahaaaaa!! Huyo mkeo nimempenda bure.
 
Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.

Unapata story kwa watu? Maisha yko na mke wko yanaongozwa na stor za watu?
 
Ukimchunguza sana bata hautamla wewe.
 
Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.

Mkuu acha kumchunguza,hilo ulipaswa kulifanya kabla ya ndoa.Halafu,ishi nae tu huenda tabia zoote mbaya alishaziacha,amini atajiheshim kwasabab ya ndoa
 
Kwani bro unapoulizia historia ya mkeo ni ili uone kama afaa kuoa au hafai???

Nakushauri sana sana kaka. Kaa kimya na isithubutu kuchimba yaliyozikwa. Mpende mkeo ishi nae kwa amani.
 
mkuu ungejua wenzako tunayoyapitia kwenye mahusiano hata usingelalamika hapa...wife alinipa taarifa za ujauzito..kidume nikafurahi sana..sikuweza kuificha furaha yangu,karibu kila mtu wa karibu alijua kuwa soon nakuwa baba wawili..yakapita masaa,siku,week gafla ikawa miezi kadhaa..kipindi chote hicho nahudumia mimba kwa mbwembwe zote.Kuna siku wife alikuwa ajisikii poa..ikabidi nimsindikize hospital..baada ya vipimo na nn..dk akanipa ripoti zen akanambia wife wako yuko mbioni kujifungua so kwa sasa anahitaji uangalizi wa karibu zaidi..ile kauli ilinitia shaka,ikabidi nihoji..nikaambiwa kitu kina miezi kama nane na week..nikashutka kidogo..mana mpaka dakika hiyo nilikuwa najua mimba ina miezi sita..sasa hii miezi nane inakujaje?.mana nilikuwa nje ya mji kwa miezi kadhaa..baada ya kurudi tu ndani ya mwezi na siku zake ndo nikapewa habari hiyo ya ujauzito....nilichanganyikiwa kwa kweli..nikamchukua wife mpaka home..nikamuweka mtu kati na kumsomea mashtaka yake..kazi ilikuwa nzito...ndani ya week hakuna maelewano..ikabidi avunje ukimwa..akanielezea hali halisi na muhusika wa hiyo mimba..nilishikwa na hasira sana..ila nikaamua kuwa mpole tu mana hali yake ilikuwa tete..nikamuuliza muhusika anajua?..akanambia hajui..nikamwambia inabidi amwambie..kajamaa kakapigiwa simu kaambiwa kakawa kanambwelambela tu..kaanza kutoa lawama pale ohhh kwann siku zote hujanambia,inakuwaje unabeba damu yangu halafu unanificha..kakawa kaneleta bla bla nyingi..ikabidi nichukue simu kwa wife kumalizana nae..nikamwambia wife we fikiria hali yako kwanza haya mengine tutayamaliza ukishajifungua na kuwa poa..

Sasa yote hayo tisa..wife akajifungua salama..siku kadhaa baada ya kujifungua,siku hiyo niko home akaja jamaa mmoja nae anadai ni baba wa mtt..nikamuuliza wife unamjua huyu..wife akagoma kabisa kuifahamu ile mtu..jamaa akaongea vya kuongea pale zen akasepa..siku iliyofwata akarudi tena..safari hii akaja na ushahidi wa kuonyesha kuwa wife alikuwa ni mpnz wake na kwa nn anahisi yule mtt ni wake..namuuliza wife naona anajiumauma tu..nikaona kuna ukweli hapa..ila nikajisemea haya hayanihusu,nikampigia yule jamaa mwingine aje..alivyofika nikampa hali halisi..nikawaambia sasa nyie mkae mjadiliane...mi nikasepa..jioni narudi namuuliza wife mmefikia wapi?..akasema wamekubaliana wakacheki DNA..Nikamwambia basi poa..DUUUUHH majibu ya DNA hayakuwatambua wale wote aisee..yani ikafika kipindi nikawa nacheka tu..YANI SI MIMI WALA HAWA JAMAA WAWILI...WOTE HOLAA...Kifupi now niko na wife na watt wetu wawili(japo huyo mmoja hata baba yake simjui)maisha yanaendelea kiroho safi

mkuu hii story tamu sana........peleka kwa mtitu aisee itakua bonge la movie
 
Ndugu naombeni ushauri, nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu. Naombeni ushauri nifanye nini? Niweze kuikabili hali hii.

ulikosea tangu uchumba....
sasa basi kwa kuwa tayari mmeishafunga ndoa we omba Mungu akupe hekima ya kuishi naye...mwombee ns yeye pia.
 
Kaboom bado unaishi na huyo mkeo?? Daaamn!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom