BALOTEL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 666
- 894
Ndugu naombeni ushauri,
Nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye.
Sasa kila siku napata story mpya kwa watu kuwa aliwahi kuwa na wanaume wengi kiasi kwamba nahisi hatutodumu.
Naombeni ushauri nifanye nini niweze kuikabili hali hii?