Hayo nayajua mkuu na najua balaa lao sio la mchezo.Huyo Sasa amekukumba tu hakuwa na lengo na wewe la kudumu
Umeshawahi kukutana na mtu ambaye majini / mizimu ya kwao inamtaka Awe chief wa ukoo wao !?
Umeshawahi kukutana na Hilo balaa tuanzie hapo kwanza
Anhaa now you're talking 😄😄Hayo nayajua mkuu na najua balaa lao sio la mchezo.
Elimu pana mkuu, mizimu haitolewi ila unaweza kuifunga isiendelee kukusumbua maana kwenye mizimu husemwa huwa kuna misafi na michafu kuna wakati mzimu unaweza ukawa unataka uwe mchawi au inatumika na wachawi kuja kukusumbua hivyo unaweza ukaufunga mzimu huo. Hili siongei kama kitu nilichosikia bali nimekishuhudia kabisa.Mzee Unaujua mzimu vizuri kwanza !? Acha masihara basiii 😁😁🙌
Kwamba unaudhibiti ili utoke au !?
Outcomes zikoje !?Elimu pana mkuu, mizimu haitolewi ila unaweza kuifunga isiendelee kukusumbua maana kwenye mizimu husemwa huwa kuna misafi na michafu kuna wakati mzimu unaweza ukawa unataka uwe mchawi au inatumika na wachawi kuja kukusumbua hivyo unaweza ukaufunga mzimu huo. Hili siongei kama kitu nilichosikia bali nimekishuhudia kabisa.
Sasa mbona kuna mizimu ambao ni majini na sio waislamu?Ukiuwacha Uislamu kwa sharia za Kiislamu unatakiwa uuliwe:
Yaani Waislamu wakuuwe:
Ndio maana Kuna watu katika nchi za Kiislamu wanakuwa Waislamu kwa lazima au kwa hofu ya kuuliwa tu:
La sivyo wangekuwa wasioamini Dini (Atheist) au wa Dini nyingine kama uhindu, ubudha, urastafarian nk.
Kwani anaambiwa nini huko anakozunguka?Kama mimi ndio sijui kabisaa, hebu nielezee ayatumikie kufanya nini? Naona wamemzungusha kila kona ya Tz ila hajasaidika yupo tu hajielewi kwakweli
Mkuu mbona mizimu huitaji na hawana dini? Au mizimu sio majini?Ndio
Ni Waislamu
NImeumia, ndio useme wanatulizwaje sasa..Nimekwambia hawezi kupona huyo ,
Huwezi kushindana na hiyo power ataishia kutupwa Hela tu
So nimpaka watulizwe
Hakuna la maana zaidi ya kumjaza chale kila eneo, hapa nimesikia wanampango wa kumpeleka zanzibar akapewe kisomo na mashekh, wakati miaka yote anakaa kwa shehe mganga na hana maendeleo yoyote!Kwani anaambiwa nini huko anakozunguka?
kuna masharti tofauti na matunzo tu.Ukitaka kumiliki jini awe mwanamke wako inawezekana kabisa,ila je utaweza masharti ya kuwa naye?
Ndio maana nikasema kuna mizimu misafi na michafu, unaweza ukatenganisha michafu na ukabaki na misafi na hakuna shida. Na watu wengi wanasumbuliwa na mizimu michafu ndio maana unakuta wanatibiwa ila hakuna kitu sababu sio waganga wengi wenye kujua kushughulikia hayo mambo hadi upate mganga wa mizimu mwenye kujua hayo mambo.Outcomes zikoje !?
Maana kuwafunga inawezekana but ndio jiandae kuwa masikini wa kudumu , nimewahi kuliona Hilo pia Kwa baadhi ya watu wangu wa karibu
Yani wanamwambia ni kipi ndio chenye kumsumbua ? Maana shida iliyopo ni kutoa ni mtaalamu gani sahihi kwa aina ya tatizo lako sio kila mganga ataweza kutibu tatizo ulilonalo.Hakuna la maana zaidi ya kumjaza chale kila eneo, hapa nimesikia wanampango wa kumpeleka zanzibar akapewe kisomo na mashekh, wakati miaka yote anakqa kwa mganga na hana maendeleo yoyote!
Hawaelewi zaidi ya kutoa tiba tu, wanahisi majini na waganga wengi ni waongo kama waliona tatizo mbona walimpa tiba isio sahihi..Yani wanamwambia ni kipi ndio chenye kumsumbua ? Maana shida iliyopo ni kutoa ni mtaalamu gani sahihi kwa aina ya tatizo lako sio kila mganga ataweza kutibu tatizo ulilonalo.
Huyo mpemba ndo anakua kama mshenga au??Nenda kwa wapemba wanafuga majini na wanauwezo wa kuyaita
Duh! Yani kuangaika kote na bado mgonjwa hajajua ni nini hasa ndio kinamsumbua. Cha kwanza ijulikane anasumbuliwa na nini na hapo ndio itajulikana anasaidika vp na wapi.Hawaelewi zaidi ya kutoa tiba tu, wanahisi majini na waganga wengi ni waongo kama waliona tatizo mbona walimpa tiba isio sahihi..
Kuna mtu namjua yamemfanya kiziwi na haongei labda aongee mwenyewe mwaka wa 10 huu na ni binti yamemuachisha na shule halafu mtu anasema ni fikra zetu tu hivi wengine mnaishi mitaa ipi haya hayawapati na sisi tuje
Hata pa kujua hapajapatikana tu kwaio ni kama haijapiga hatua yoyote ileDuh! Yani kuangaika kote na bado mgonjwa hajajua ni nini hasa ndio kinamsumbua. Cha kwanza ijulikane anasumbuliwa na nini na hapo ndio itajulikana anasaidika vp na wapi.