Historia ya kweli: Tuliowahi 'kula' walimu wetu tujuane hapa

hapo ni nishushe mwamba, yaan inaonekana kabjsa hii ni fake story

we mtu bado hata haujaweka mazingira fresh ya kuwa ni mpenzi wako

ukapanga njama za kumpiga denda na kwel ukampiga denda tena kinguvu halafu barabarani huo uongo wa wapi?

wadanganye watoto wenzio
mkuu inaonekana huwa unatumia nguvu kubwa sana hadi kuipiga mbususu ukitaka kuzichakata kiurahisi huna haja yaku complicate sana unatake risk tu nyie mnategemea kutengeneza mazingira huwa mnatumia pesa nyingi, mnapoteza muda mwingi kapitie ule uzi wa kimasikhara ujifunze jambo
 
Sasa mkuu tuendelee.
 
Tunapofungua ukurasa wa mapenzi kila mtu ana historia yake katika safari yake ya kutafuta furaha katika bahari mapenzi kuna walioumizwa sana kuna wenye bahati yakupata sehemu zenye utulivu na kufanikiwa kutuliza mioyo yao yani hii kitu ina run dunia.

Uzi huu umebeba historia ya kweli ambayo huwa haifutiki kichwani kwangu na iyo ni baada yakutoka kimapenzi na mwanamke alienizidi umri yani mama mtu mzima.. kweli mapenzi ni upofu na hayachagui umri najua wengi umu wanahistoria kama yangu kwaiyo itakua poa kama na wewe utatupa mkasa kidogo ilikuaje hadi ukaangukia uko.

Mambo yalikua hivi:-

Mwaka 2012 baada yakumaliza A-level nilihamia Dodoma kufukuzia harakati zangu za masomo katika chuo kimoja sitokitaja , nilikua mwanafunzi mzuri tu kabla sijajiingiza kwenye majaribio ya hatari yakutaka vitu vikubwa vilivyonizidi umri.

Kabla sijajiunga na masomo nilikua na mpenzi wangu ambaye alikua classmate wangu tulipendana sana licha ya usumbufu wangu ila pale nilihisi kabisa ntaoa kwakufupisha yule bibie tuliachana haikua kwa wema sana hali ile iliniyumbisha sana hata performance yangu ilishuka kwa kasi kuna baadhi ya mambo nikaacha kuyazingatia ikiwa pamoja na Assignment zilizokua zikitolewa, jambo lililosababisha niwe mtu wakucopy kazi za wenzangu.

Basi siku iyo nimeitwa na mwalim mmoja tulikua tukimuita profesor yule mzee alikua anatutaka tuandike kazi kwa mkono alafu anapitia kazi zote kwa umakini ndipo alipogundua nimefanya uhuni ile kesi tulikua mtu tatu tumecopy kazi moja, mzee alitusema sana alituambia turudie kufanya ile kazi, sasa muda uo akaingia mama mmoja pale ofisini ni mwalimu ila hakuna somo anatufundisha kozi yetu akaunga na mada aliyoikuta akadai kua ndo michezo yetu baada ya muda kidogo akatoa buku 5 akanipoint nikamchukulie vocha ya voda, nikachukua kibunda nikaondoka yale maeneo moja kwa moja nikaenda kupata lunch kwanza nikajiaminisha kua madam hanifahamu na hata nikikutana nae siku nyingine ntamlipa tu pesa yake.

Zimepita wiki kama mbili ivi nipo mtaani siku iyo napita karibu na saluni ya dada mmoja anaitwa Neema tumezoeana alikua anapenda kuniita mdogo wangu nikaona sio mbaya ngoja nimsalimie, ile kufunua pazia la kamba kamba nikamuona mtu kama madam katulia kwenye machine yakukaushia nywele basi nikatoa salam nikatembea nikaunga gheto kuchukua buku tano ya madam ili nimuwah pale pale saluni.

Baada ya kuzuga zuga pale nje ya saluni madam akatoka kuelekea kwenye gari yake nikaona apa apa ngoja nikasafishe deni langu nikahofia tukionana ndani ya chuo madam anaweza nifanyia roho mbaya, nikajisogeza kidume hadi pale kwenye usafiri kafungua mlango kabla hajafunga nilikua nimeshafika

" Shikamoo madam?
Madam: marahaba, hujambo?

Mimi: sijambo.
Apo nikapata utulivu kidogo nakushindwa la kufanya baada yakuona mapaja ya madam alivalia sketi fupi fupi kwaiyo alivokaa kwenye siti ya gari nguo yake ikapanda juu ikapelekea hadi tyt ya ndani kuonekana, kiukweli lile tukio lilinihamisha fikra zangu nikajikuta jicho haliondoki kweny paja za madamu japo kua ni kwa muda mfupi ila niliscan eneo vizuri sana nakugundua madam anapaja soft limeshiba zaidi ya hawa madem wa lika zetu.

Nilichogundua ni kwamba madam hakunikumbuka kua nilimpiga tukio nikaona yupo kimya tu akawasha gari me nikasogea nyuma kidogo alijua ni wale wanafunzi wakimuona teacher wanaenda kumshobokea kwakumpa salamu, madam kakanyaga mafuta akapotea yale mazingira nikasave ile buku 5 nikarudi ghetto.

Basi nikawa namuelewa sana yule madam kila nikimuona lazima nipoteze muda kidogo kumuangalia yani nakula kwa macho na kadri siku zinavyozid kwenda namuona kaumbika zaidi, na ile nikutokana na maisha aliyokua anaishi licha ya kua mfanyakazi pale alikua na biashara zake na majukumu sio mengi kwasababu watoto wake wote waajiriwa na mmoja alikua anasoma nje ya nchi

Mawazo yangu siku zote ni kua wakubwa wanafaidi naishia apo nilibaki kula kwa macho tu, siku iyo pita pita zangu mtaani nikamuona madam amekaa na secretary nje ya ki pub flani ivi wametoa viti nje wanakula bia moja moja pale mawazo yakujilipua yalinijia ghafla kichwani kwangu alafu nikajijibu kua ni jambo lisilowezekana ila kadri time inaenda yule shetani alikua anawekeza nguvu zake kwenye kichwa changu, ghafla nikaona yule secretary kainuka kwenda chooni nikataka nisogee nimpe salam madam miguu ikasita kabisa hadi yule dada akarudi kutoka chooni hakupoteza muda akaondoka.

Pale nikajiuliza tena, hivi mimi nna akili kweli nimekaa hapa nawinda watu wazima hawa" nikasogea hadi geto nikachukua sweta langu(prova) pale ndo nikajifyatua akili nikasema madam atakua na kapombe kichwani ngoja nikamzingue

Madam kasogea eneo alilopaki gari yake nikamfata

"Mambo?"

Madam: Heeeh! Poa vp dogo

Kufupisha habari nilifunguka hisia zangu kwake mwanzo alikua anacheka nakusikitika at the same time, kuna muda akasema jesus!! Kwa mshtuko, kilichonipa confidence ni kile kigiza pale road..akaniuliza unaitwa nani? Apo nikahisi kabisa nimezingua nika jilipua tena nikataja jina nikajipa moyo akinizingua kesho nitasingizia nililewa basi akaomba aende akapumzike akanambia kesho uje ofisini kwangu saa 5 asubuh alikua mkuu wa department

Lile jambo liliniumiza sana ubongo sikulala nilijiona nimezingua na chuo sina tena yani mapenzi yaliisha yote nilikua mnyonge sana kesho yake nilipanga nisitokee maeneo ya chuo nibaki geto nicheki movies tu, ila kulivopambazuka nikapata wazo kua niwahi asubuhi sana nikasafishe msala nilioutengeneza nikaamini ntaeleweka tu atanichukulia kama kijana wake nimuombe msamaha, basi nikatafuta code za heshima kidogo mkanda nje nikatoka kistaarabu siku ile nikawah saa 1:30 nipo nje ya ofisi natetemeka tu namsubiri kabla hajaingia kufundisha niyamalize.

Madam akafika pale tuliokua tunamsubir ni watu wanne ila me nilijitenga mwishoni kidogo ili wamalize shida zao wengine ndo niingie, muda huo madam anafungua mlango wake ananiangalia madam alipendeza sana ila kwa muda ule nilikua namuona kama chui nakumbuka alivaa ile min-skirt yake aliyovaa saluni

Basi zamu yangu ikafika nikazama ofisini apo roho juu juu..

'Shikamoo madam?
Madam akacheka akanambia we si umenisalimia mambo jana leo imekuaje unisalimie shikamoo ? Daah! swali lilikua gumu sana lile mixer ku lose confidence nikaomba anisamehe kwani nilifanya vile sio kwa akili yangu ilikua nguvu ya gambe

"Ivi we unawezaje kumtamkia maneno kama yale mama ambaye anaweza kukuzaa ,kwenu kuna wakubwa kweli? nyie vijana wa siku izi mna maadili mabovu sana sijui bangi izo mnazovuta mnachanganya na nini".. alifunguka madam kwa hasira kidogo.

Pale nilijiona kama kuku aliyenyeshewa na mvua nikawa mdogo nikatoa buku 5 nikaomba anisamehe nikamkumbusha me ndo kijana niliyekimbia na pesa yake ,pale nikaona anacheka akaniita jina langu akanambia unaonekana unamatukio mengi sana iyo baki nayo ile siku kumbe kaniagiza vocha alipata emergence aliondoka mida ile ile na yeye aliisahau ila akanambia sura yangu ameiona kwenye matukio mengi alinifukuza pale akasema nikukute class na sijui utaniangalia vp leo, nikamwambia sisomi kozi anazofundisha

Kwa mara nyingine tena nikaondoka na buku tano langu nikaunga kupiga supu chapati ila gafla moyo wangu ulijawa na furaha nikajua tu madam mzungu kafuta msala maisha yaendelee pale chuo. Ili kuhakikisha kua kesi imeisha nilisubiri hadi muda anaondoka nikakaa karibu na alipopaki gari yake ili akifika nijioneshe nione atasemaje. Baada ya muda kupita namuona uyo anakuja nikajiset kwenye angle ambayo lazima anione.

Nikawa namcheki namuona kama mtoto tu hakuwa na mwili mkubwa sana ukiambiwa ana watoto watatu wakubwa unakataa alionekana bado mbichi mbichi pale akili yangu ikajiwazia kua kuna malecture lazima wanakula mzigo apa tamaa zikaanza kurudi nikikumbuka na ile buku tano kaniachia nikahisi kabisa madam kaelewa na yeye ni binadamu ila utu uzima utamtenga na penzi langu,, daah mzee wangu anajua nipo chuo nasoma me nataman wamama" nikajiongezea mawazo kidogo

Madam alikuja hadi pale nilipokaa akakaa kwenye kimbweta nikamsalimia hakujibu akaniomba nikamchukulie paracetamol na maji makubwa alidai kichwa chake kinamuuma alikua amechoka sana alinipa pesa kabla sijaondoka akanitania kua nilikua namsubiri yeye akacheka, kile kitendo kilinipa mawazo yani njia nzima mashine yangu imesimama hadi nikafika sehem ina wanafunzi wengi wengi nikainama kidogo kuzuga najifuta kiatu ili mshedede upoe kidogo nisijepata aibu. Basi mazoea yalizidi yani urafiki ukawa unakua kwa kasi ila kitu kilichokua kinaendelea kuna muda tulikua tunaangaliana na madam ila anaona aibu mwanaume ni mwanaume tu akili ikanituma kua bimkubwa kuna kitu anataka au nimemzidi nguvu nikiwa gheto nilikua namtumia meseji mambo madam " anajibu poa nikaona kabisa nimemuweza apa situmii nguvu nyingi ntajaribu tukio lingine la hatari siku si nyingi target yangu ilikua nikumpiga lita yani nimpige denda madam nione itakuaje, kama kumtongoza nishamtongoza mazoea yameshakolea acha tu nijaribu kumuingia kiundani

Siku ambayo nilipanga ilo tukio nakumbuka nilirudi gheto nikapiga maji kuweka mwili safi marash flani nikajiweka sawa wakati uo nimemuomba lift anavoondoka anisogeze town niingie saba saba. Basi time ikafika nikasogea pale kwenye gari yake ila kuna teacher mmoja alikua anataka lift nae alinikata sana mzuka ila sikumuona tena sijui alipotelea wapi, ikabidi si tuondoke.

Apo mapigo ya moyo yapo kasi tunapiga stori za kawaida wakati huo tunakaribia eneo ambalo nataka nipige lita, tulipokaribia eneo la hatari nikamuomba asimamisha gari nikojoe alifurah nilivomuita jina lake basi kidume nikashuka nikamwaga kojo nikamwambia we huna mkojo akabaki anacheka tu nikazunguka nyuma ya gari nikamuita aje aone kama buti halijafungwa ,madam akatoka akaja hadi nyuma akasema mbona limefunga nikamshauri alifungue alafu alifunge tena sijui nini kilipelekea akawa anatii kila nnacho mwambia kwakweli nilikua kijana wa ovyo sana nilisimama nyuma yake nikampigia hesabu akigeuka tu namvaa yani kama kwenye movie za kizungu apo mashine yangu ni 5G+ nikaisogelea tabia ya madam nikamgusa na bomba yangu akashtuka akageuka nikaziwahi lips zake nene alipata mshtuko mkubwa akanisukuma nikarudi nyuma kidogo ukimya ulitawala alafu tupo eneo la wazi nikiwa najaribu tukio lakibabe
Ule ukimya ukanipa maswali mawili moja ni madam kamind nimeharibu tena swali lingine ni unamwachaje kizembe, basi nikasogea kujaribu shambulizi la pili madam katulia tu kama alikua ananisubiri nikamkamata kiuno nikamvuta kwangu sikukutana na kipingamizi chochote safari hii taratibuu akazileta lips zake mdomoni kwangu wakati huo kafumba macho, nikakutana na ulimi laini wa madam nikatalii maeneo muhimu yote pale nikaona madam kalegea kabisa yani alisahau kabisa kama yupo road akaanza kuuchezea ukuni wangu, huku akitoa miguno.

Zoezi tukalikatisha ghafla baada ya kuwaona wanafunzi wa shule ya msingi wakisogea upande wetu fasta nikamuachia nikaingia kwenye gari yeye alibaki nje sijui ni kitu gani kilimfanya achelewe.

Itaendelea...
Tupe link ya muendelezo
 
Itaendelea..
Ulipoharibu ni hapo itaendelea mkuu
 
Endelea mwanangu. Wengine wanasema ni chai lakini hawaelewi nguvu ya mapenzi. Tena yapo mengi yanayotendeka huko gizani,yakiletwa kwenye uwazi hapa unaweza ukazimia. Nimekuamini mazima ksbb najua dunia ilivyo. Kuna mengi zaidi ya hayo.

Wamesahau kwenye masihara jamaa alimla chizi vizuri tu
 
Hii kitu utaiona chai kutokana na misingi na maadili uliyokulia ila sisi tuliyo kulia mitaa changanyikeni system za ovyo, aya mambo tunaendelea kuyashuhudia hadi sasa na yamekithiri yani watoto wadogo wanachakata mashangazi wazi wazi na wanawake nao wanapenda vijana wabichi wabichi kama tunavopenda sisi ila ujasiri tu hawana ila wakipata nafasi wanaitumia vizuri sana lakini nikimaliza huu uzi kuna vitu mtajifunza kwenye swala zima la malezi kwa vijana...

Mkuu unashangaa lecturer wakati kuna viongozi wanachakatwa na watoto apa town tembea ujionee dunia imebeba mengi
Hivi vitu vipo sana kitaa. Labda tu kwa wale waliokulia kanisani
 
Back
Top Bottom