Yani Grace hakupanga mikakati take vizuri alidhani kuliweka jeshi la polisi mfukoni mwake angeweza kuwa rais. Laiti jeshi lingemkubali nchi angeuchukua. Mnangagwa the crocodile aliporwa chupuchupu kuuawa akatoroshwa kavaa bibi mwakani mwa Zimbabwe sijui na msumbiji sikumbuki.
Mwamba GT
Richard anaifaham sana hii kiundani alileta uzi mzuri sana humu wakati hule Grace alita kuwa rais.