Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kibacha....
OCG ngoma inaitwa Kazeze...ninayo kwenye pc nipm namba yako!!Mwenye hii ngoma anipe jamaa anamuongelea mshikaji kwa jina la kibisa amedanja kwa ngoma ndani ya kaburi marehem kibisa amekula raaba, raba raba mtoni, juu ana shati la kitenge mbele lina mabaka ya kenge.. Mpaka leo sinawahi kusikia imepigwa redion ikaisha maana ni ndefu ka series
Mwenye hii ngoma anipe jamaa anamuongelea mshikaji kwa jina la kibisa amedanja kwa ngoma ndani ya kaburi marehem kibisa amekula raaba, raba raba mtoni, juu ana shati la kitenge mbele lina mabaka ya kenge.. Mpaka leo sinawahi kusikia imepigwa redion ikaisha maana ni ndefu ka series
Cool Moe Cee alikuwa ana flow parties za Oysterbay way back in 1988.
Nakumbuka huyu ndio wa kwanza kabisa kufanya rap ya kidwahili akifanya akiimmba ile 'Ice Ice Baby' kwa kiswahili, mashairi yakr kama nayakumbuka " kitu kimenikaa moyoni, sasa naamua kukitoa mdomoni, the real scorpion!, i dont know!, kusema mengi! naona choo!, cool in screen niko kwenye stage nakata madebe penda uspende take away!" Haya ndio mashairi ya kwanza kabisa kurekodiwa hapa Tanzania. Enzi hizi sugu ametoka Mtwara alikuwa anafanya kazi pale BP(Kurasini) kama mlinzi.
Kolumba ,othiman njaidi,mike mhagama,bony luv ,. Wagumu weusi asilia WWA, dar young mob,Ku crew ..sos b ,imam AbasKuna beat flani ya Mawingu Ile inaimbwa siamini kama tuko wote, r&b flani hivi jamaa walikuwa na idea lkn ilikuwa bado mnooo. Watu walianza na Yo Rap saleh Jabir kwa mara ya kwanza alianza kupiga kitu kwa kiswahili
Naomba Link ya uzi wa Top 20 ya nyimbo bora za wakat wote TzUnamtaja vipi Ali kiba halafu unamnyamazia John Mjema, Steve 2K na Akili the Brain? Bab Lee?
Style za r&b yetu ya bongo muasisi ni MB Dogg mbona haujamtaja?
+Mr. NiceQ Chief.
Sister P.
Rah P.
Zay B.
Dudu Baya na Dar scandal.
John Mjema.
Rico Spider.
Akili the Brain.
Big Dog Posse.
Steve 2K
Mzimuni family.
Dataz.
Squeezer.
Wapo wengi mnooo
Mabaga fresh jaman hau kwasababu ni..umesema Bongo flava kuanzia 1993 lakini umekuja kuzungumzia bongo fleva ya 2000
yani Mr Nice ameupeleka mziki wa bongo mbali kuliko J Nature kweli??? labda kwa watoto Mr Nice ndio hakuwa mpinzani. Hivi ulizisikiliza tungo za Nature kweli??? mtu kama Balozi hata kujisahaulisha tu halafu unamtaja au Imam Abbas
nimesikitika ktk list zako hakuna sehemu alipotajwa Mr Blue
halafu katika makundi umetaja sijui Top Band sijui Nako 2 Nako makundi ambayo yamekuja 2005+ mkuu hivi ushasikia kitu kuhusu HBC, Kwanza Unit
Siujui huo uziNaomba Link ya uzi wa Top 20 ya nyimbo bora za wakat wote Tz