Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

Sijaona jina la Balozi. Sijaona jina la Ruge Mutahaba sijaona jina la Bonny Luv wa Mawingu Studio. Sijaona jina la Marlon Linje
Mleta uzi naona aidha kwa bahati mbaya au makusudi umeamua kuwa puuza hawa niliowataja makusudi kwa sababu zako. Lakini mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeeni. Hata Dully Sykes hayumo?! Umesahahu nyimbo zake za Nyambizi Salome,Handsome etc?!!!
 
Mie nakumbuka tu Mwanangu huna nidhamu ilivyofanya had wazee waanze kusikiliza bongo fleva, Hongera Sana Dudubaya, kuanzia 2000+ Watu walijituma Sana na bongo fleva lakin malejendari hao saiv hawajulikani wako Wapi Au walishaamua kufanya vitu vingine na wengine kujiingiza ktk Madawa ya kulevya na wengine wanafanya vzr to date,
Gangwe mobs, daz nunda, Mike T, Mr blue, dully Sykes, wale walioimba nakuhitaji, soggy dog hunter enzi Hizo alikuwa RFA, kina kid bway mtangazaji huyo wameisaidia Sana bongo fleva
 
Hujarudi nyuma enzi za Kwanza Unit,au nyuma zaidi kwa Salehe Jabir.

Miakaya mwisho ya themanini na ya mwanzo ya tisini.

Kabla Sugu hajaja Dar, wakati hup Professor J ni mbeba mabegi tu wa Hard Blasterz. Hata Studio hajaruhusiwa kurekodi.
Eeh bwana ee si masihara unajua b-fleva
 
mleta uzi hakuna hata mmoja hapo aloianzisha bongo fleva kati ya uliowataja,hao wote walifuatia baadae...nenda kafanye vizuri utafiti wako..
 
Cool Moe Cee alikuwa ana flow parties za Oysterbay way back in 1988.
 
Hivi unamuweka Ali kiba ,temba,chege unamuacha ferooz, unaiweka top band unaiacha Daz nundaz kweli?
 
Soggy Doggy Anter a.k.a Bongo fleva Encyclopedia, Gangwe Mobb,Gwm, Ugly Face (wapambe nuksi, tuwapige mashuti eeeh [emoji441][emoji444][emoji444][emoji445]) K u,Dee Plow Matz ,etc
 
Kuna beat flani ya Mawingu Ile inaimbwa siamini kama tuko wote, r&b flani hivi jamaa walikuwa na idea lkn ilikuwa bado mnooo. Watu walianza na Yo Rap saleh Jabir kwa mara ya kwanza alianza kupiga kitu kwa kiswahili
 
Huu uzi ni light weight bongo fleva iliyoongelewa humu ni kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea, uko miaka ya 90s mwandishi hajui chochote. Kuna watu kama Wachuja nafaka, Gangwe Mob, X plastas, Balozi na wengine wengi hajawaongelea.
 
Hujarudi nyuma enzi za Kwanza Unit,au nyuma zaidi kwa Salehe Jabir.

Miakaya mwisho ya themanini na ya mwanzo ya tisini.

Kabla Sugu hajaja Dar, wakati hup Professor J ni mbeba mabegi tu wa Hard Blasterz. Hata Studio hajaruhusiwa kurekodi.
Umechimba vizuri sana Kiranga.
Mleta nada aliwasahau hao uliowataja pamoja na akina Balozi Dola Soul na kundi la Diplowmatz (Diplomats), Kwanza Unit, X Plastaz nk.
 
Wengine tunazijua hizi habari kwa sababu hawa watu tulikuwa nao, mpaka"Yo! Rap Bonanza" ya Kim Mgomelo tulishiriki.
Umenikumbusha Abdulhakim Magomelo (Kim and the Boyz) RIP. Mmoja wa waliokuza muziki wa nchi hii kupitia promotions zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom