Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Ntaweza kuitumia crypto currency kuna elimu inahitajika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana elimu yeyote kubwa unayohitaji ili uweze kuitumia, ila kuna uelewa kiasi tu unaotakiwa kuufahamu na baada ya kuzoea ni jambo la kawaida tu kama vile unapohifadhi pesa Tigo-Pesa au M-Pesa ama unapotuma na kupokea kwa mtu mwingine.
 
c6617301b6a0b2c4d38bde2192f31c04.jpg

Habari ndungu zangu kwanza niwatakie mapumzika mema ya siku hii ya jumapili tunapouanza mwezi huu wa kumi.

Pili napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote waliofatilia chapisho langu nililoelezea kuhusu Bitcoin kwa kiasi kiukweli nimepata maswali mengi mengi sana mengine yakiulizwa moja kwa moja kwenye uzi mengine nikiulizwa inbox.

Kwanini nimeandika uzi huu? Nimeona kuna nia ya kukutana na watu ili tuzungumzie mambo haya kwa kina kwani nimeona kuna utapeli mwingi watu wanaweza kufanyiwa na kuna baadhi ya watu tayari wamenielezea jinsi walivyotapeliwa na makampuni au watu wanaokuja kwa jina la Pesa za digital.

Natoa wito wa Pekee japo ambalo sikuwahi kufikilia kama nitawahi kuhitaji kuonana face to face ila nimeona kuna kila sababu ya kufanya hivi.

Ikiwa leo ni tarehe 01-10-2017 siku ya jumapili kwa wakazi wa Dar es Salaam natangaza kuonana na mtu yeyote siku mbili siku ya Jumamosi ya tarehe 7-10, na siku ya Jumapili tarehe 8-10.

Muda ni saa tisa,Sehemu tukutane pale Maeneo ya Regency Hospital karibu na Aghakhan Secondar School ambapo nitakuwa na watu kadhaa katika jengo la Vijana House pale.
Kwa anaepanda Gari za Mwendo kasi shukia kituo cha DIT utakua umefika ukinipigia tutaonana.

Kumbuka sihitaji kupokea pesa yeyote kutoka kwa yeyote na huhitaji kuja na Pesa yeyote kwa ajir ya malipo ya aina yeyote.

Kwa mawasiliano 0713-563 799.

Karibu tujifunze na tuepuke utapeli kama ulikua na doubt au maswali mengi huu ndio wakati wako
 
bitcoin imepigwa marufuku China naona anguko lake liko karibu sana.........ni very risk investment
 
Hapana elimu yeyote kubwa unayohitaji ili uweze kuitumia, ila kuna uelewa kiasi tu unaotakiwa kuufahamu na baada ya kuzoea ni jambo la kawaida tu kama vile unapohifadhi pesa Tigo-Pesa au M-Pesa ama unapotuma na kupokea kwa mtu mwingine.
nahitaji no. yako
 
Biashara kichaa.
Inakufanya na wewe kuwa bidhaa.
 
Naomba mwenye uelewa kuhusu bitcoin anieleweshe na jinsi ya kufanya biashara hasa kwa Tanzania!
bitcoin inatumika kufanya transaction kama zilivyopesa nyingine,na biashara yake ya ni exchange tu kama ilivyo forex,na jinsi ya kupata bitcoin unatakiwa uwe na mining machine inayotumika ku organize transaction kuziweka kwenye public ledger inayokuwa inaonyesha transaction zinazofanana.
 
Mkuu kutokana na elimu uloitoa apa kuhusu bitcoin nahc utakua na abc kuhusu baadh ya kampuni zinazofanya crypto currency exchange, Kuna hii kampuni inaitwa BITCLUB ADVANTAGE,kama unaufaham wowote kuhusu hii kampuni, msaada wako mkuu.
 
kmapuni makini na sahihi ni bitpesa chek nao kwenye mitandao ya kijamii wapo active sana twitter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom