HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

Tulishayafehemu haya
wacha waendelee na madudu maana naamini kashfa walizozifanya hazikuwatosha na sasa wanajiandaa na big fall.
Mungu awarehemu

Anguko lao limekaribia sana,six atameguka na kundi lake na kumpigia kura marando/upinzani
 
Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Baada ya ufafanuzi siyo mbaya kiutu uzima ukajiona umwombe radhi mwanajamvi mwenzio kwa kumdhalilisha hadharani bila ya sababu kumbe wewe hukujua kile kilichokuwa kinaendelea........................please Mkuu do the right thing and humbly apologize with immediate effect................
 
At least wabunge wa CCM wamepiga kura kumchagua. Nyie mnapelekana kibabe, wenye chama wamesema Marando, wote mnakubali. Hakuna demokrasia na viongozi wanachaguana bila kufuata misingi yoyote.

Chama chenu ni cha kizushi, kinaendeshwa kibabe.


Ni kweli kabisa.

Kama ambavyo wenye Chama walivyosema "TUMEAMUA Spika awe Mwanamke" safari hii. Au Bilali hafai u-Rais Z'bar, au Bashe siyo raia, na Selleli hafai, na mifano mingi tu.

Selemani, angalia ulipokaa kabla ya kumwambia mwenzio kakalia majivu.
 
Sasa bunge limempta mwenyewe, huyu mama atafanya kazi nzuri sana kuliko huyo 6 wenu, binafsi namwaminia sana. Nyie subirini tu

Inategemeana una maslahi gani lakini kwa watu wengi nikiwemo mimi Anna Makinda hawezi kuwa fair katika maamuzi yake. Kwa ufupi anakipenda zaidi chama chake kuliko wananchi
 
Anna makinda ni chagua la RA, EL chenge na listi nyingine ya kifisadi. Soma mwanahalisi ya tarehe 10/11/2010.
 
Huyu mama mi simuamini maana enzi ya unaibu alionekana kama anabase upandu mmoja
pili uwezo wake hauwezi kulinganisha na Marando hata chembe
Ninaamini ndani ya wabunge wa sisiem wanaliona hili sidhani
kama watakuwa radhi kulipeleka taifa hili mrama

Japokuwa wengi wenu mmechakachua kupata nafasi hizo lakini
kwa hili kuweni wazalendo wala mfute mabaya yote ya uchaguzi maana laana ya watanzania mil. 50
itawaangukia na mtapigwa na gharika!!
 
Huyu mama mi simuamini maana enzi ya unaibu alionekana kama anabase upandu mmoja
pili uwezo wake hauwezi kulinganisha na Marando hata chembe
Ninaamini ndani ya wabunge wa sisiem wanaliona hili sidhani
kama watakuwa radhi kulipeleka taifa hili mrama

Japokuwa wengi wenu mmechakachua kupata nafasi hizo lakini
kwa hili kuweni wazalendo wala mfute mabaya yote ya uchaguzi maana laana ya watanzania mil. 50
itawaangukia na mtapigwa na gharika!!

mhhhhhhhhhhh naona mapambano kati ya mzumbe na udsm katika uspika kazi itakuwepo hapo,......
 
Kwanza kwa kichefuchefu cha hali ya juu nasikitika kusikia chama kilichojaa mambo ya ajabu kimemteua agombee uspika kwa tiketi ya chama hicho,mtu huyu hafai hata mheshimiwa 6 alipokuja jua huyu ni naibu wake alisikitika sana ndo maana alimzuia kuendesha baadhi ya mijadala bungeni,TUMEKWISHA!!!!
 
Huyu mama hafai kuliendesha bunge hili ambalo lina wapinzani wengi ukilinganisha na bunge lililopita. Kumbukeni bunge la 9 huyu mama alishindwa kuushughulikia mjadala wa Richmond ambao ulikuwa mezani kwake, mpaka alipokuja 6 kutoka kwenye bunge la Africa ndiyo akaiundia tume. Sasa kama alishindwa hilo itakuwaje kwa hili bunge la kumi lililosheheni wapiganaji kibao?





JIWE WALILOLIKATAA WAASHI LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI.
 
Naliona anguko la CCM, kapumzike CCM, nenda salama!! Nashawishika kuamini kua kuna mtu anayesaidia kuingamiza CCM, hawawezi kufanya maamuzi ya ajabu hivi, yaani wamesahau ya MWANZA, IRINGA na kwingineko? huyu Mama atakua na wakati mgumu sana bytheway, chance ya kupita ni ndogo sana kwani WANAWAKE wanaasili ya kutopendana, hivyo kura nyingi watampa MALE, pia, ana visa na visasi na wabunge wa zamani waliomo sasa, mwisho, uwezo mdogo!! haya tuone, yetu macho, mi nilitoka huko zaamani nikahamia upinzani
 
[Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu=Mtama;1251601]Kwanza kwa kichefuchefu cha hali ya juu nasikitika kusikia chama kilichojaa mambo ya ajabu kimemteua agombee uspika kwa tiketi ya chama hicho,mtu huyu hafai hata mheshimiwa 6 alipokuja jua huyu ni naibu wake alisikitika sana ndo maana alimzuia kuendesha baadhi ya mijadala bungeni,TUMEKWISHA!!!![Sikio la Kufa halisiki dawa ]

Kitendo cha kumwengue Sita kwenye kinyanganyiro cha uspika ni kuonesha ni kwa kiwango gani chama cha majamazi kisivyojipenda.
 
Hivi walikosa mtu mwingine kabsaaa? au wanafanya makusudi??? kweli sikio la kufa halisikii dawa...CCM kushne!
 
Watanzania tuna kazi kubwa ya kudai uhuru wa nchi yetu kutoka kwa wakoloni weusi (mafisadi). Iko siku watu tutakana mapanga!
 
Nataka kukuambia tu kwamba Mama Anna Makinda wewe ni kibaraka wa Mafisadi na Watanzania tunajua. usije ukajidanganya kuwa hatujui, waliokuweka hapo ni mafisadi na wamekulipia deni la kampuni yako ya sh bl 1.

Utalaaniwa na kilio cha watanzania.
 
hivi tukimtikisa huyu mama kila wakati kuwadai Katiba Mpya na Kulala pale Bungeni si anaweza akaachia????:smile-big:
 
Back
Top Bottom