Historia: Maldini na kizazi chake ndani ya AC Milan

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
Mwezi feb 1932 katika eneo la milan italia alizaliwa Casare Maldini, career yake ilikua ni kusakata kabumbu ambapo alicheza nafasi ya ulinzi .
Mwaka 1954- 1966 alichezea club ya AC Milan akicheza michezo 347. Mnamo mwaka 1967 alitundika daruga. .

Mwaka mmoja baadae hii ilikua ni 1968 akazaliwa kijana Paolo Cesare Maldini , mtoto wa cesare maldini ambapo naye alikuwa mcheza soka naye aliichezea AC Milan akicheza kama beki wa kushoto au mlinzi wa kati alitundika daruga rasmi mwaka 2009.

Paolo maldini anashika record ya mchezaji mwenye appearance nyingi kwa timu ya Milan akiwa na appearance 902, Maldini anatajwa kuwa miongoni mwa walinzi bora kupata kutokea.

Daniel Maldini ni mtoto wa Paolo Maldini alizaliwa mwaka 2001 naye ni mcheza soka akichezea klabu ya AC Milan pia.

Screenshot_20210601-123546_1.jpg

Screenshot_20210601-124226_1.jpg
Screenshot_20210601-124008_1.jpg
 
Weka na Crespo hapo akiwa ac Milan na Chelsea, jamaa alikua mashine ile acha kabisa. Liverpool hawatamsahau alichowafanya huyu mjeda wa Argentina.
 
Back
Top Bottom