Coolant
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,259
- 2,209
Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Sisi tukikusanya 100% basi 60% yote inakwenda kwenye matumizi ya Serikali Kuu, Idara zake zote, Mahakama na BungeUsisahau...
Bajeti ya nchi yetu wanaijazia wao...
Sijui huwa taratibu zikoje za kuweka hadharani matukio yaliyokwisha pita muda mrefu, ila Mheshimiwa Mabere Nyaucho Marando anaweza tusaidia kwa hili, inasemekana kuwa yeye aliongoza kikosi cha kumkakata Captain Tamimu (komandoo), hawakufanikiwa kumkata hai, kwani aliuwawa kwa kupigwa risasi mchana kweupe huko Kinondoni.Huyu Mahiga inaonekana ana historia kubwa na nchi yetu tusiyoifahamu. Hebu siku moja mtu mwenye dondoo alizoifanyia nchi yetu kwenye matukio muhimu aziweke tupate kumfahamu maana inaonekana kuna watu wanataka asijulikane kiasi cha kuziba pengo lake hata kabla kaburi lake halikafukiwa wakati inaonekana kuna mengi sana kaifanyia nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni wabaya wanapotuletea Pesa tusiwaite kwa jina la wahisani,au hao mabeberu wanapokutana na viongozi wetu wawaambie kuwa ninyi ni mabeberu na hela zenu hatutaki.Mbona tunapokea misaada toka kwao? Tuache unafiki?Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Nami nakubaliana na wewe "kweli ujinga ni mzingo". Mnamtukuza sana mzee wetu kwa anayofanya lakini mnashindwa kuangalia athari zake. Ipo siku mtaelewa tuKwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Hata hiyo chupi uliyovaa wametengeneza wao, pedi uliyovaa wametengeneza wao. Hivi wewe dada unajielewa?Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Unatakiwa kutumia akili kuchambua mambo! Kwanini wamarekani wote ni mashoga? Je,Hakuna watanzania mashoga? Wamefundishwa na mabeberu? Wewe wazazi wako walikufundisha kufanya mapenzi? Msiharibu uwezo wenu wa kufikiri tu kwasababu unalipwa book 7!JERUSALEMU,
yani wewe hata mabeberu wakikwambia huwe shoga utakubali.
nikukatishe kwanza na historia yako usiyo jua. uchumi wa tanzania ulikuwa mzuri hata kufanya thamani ya pesa kuwa nzuri kuliko hile ya marekani.
Kwa kuwa marekani thamani yake ya pesa kipindi kile kwa nchi za afrika na sehemu zingine ilikuwa aina thamani.kama unavo jua waswahili wanavo sema ukitaka ufanikiwe waharibie wanzako wanao kuzunguka ili wewe huwe bora.
kasome kitabu cha ujasusi cha eriko nyerere
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu wala usipoteze muda,hawa vijana wa leo wanaunga ujinga hawajui madhara tuliopata hadi Mwl.Nyerere akajingatua kwa aibu.Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Hakika umemaliza kila kitu! Huo ndio ukweli. Kila kitu unacho tumia kinatoka kwao halafu mnajitia ujeuri ili mharibu maisha ya watanzania. Kuwa na adabu.Hata hiyo chupi uliyovaa wametengeneza wao, pedi uliyovaa wametengeneza wao. Hivi wewe dada unajielewa?
Hivyo vidonge vya kuzuia mimba unavyotumia tukikutana wametengeneza hao mabeberu. Kuwa na adabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubariani na wewe! Aliyeanza kuharibu nchi zaidi ni Mkapa. Nakubali kuwa Kikwete hakututendea mema kwa katiba ya CCM na ya nchi! Lakini mengine yote muasisi ni Mkapa, tangu ufisadi, makundi, na kuminya demokrasia,! Hata kuingia Kikwete unayemlalamikia Mkapa ndio alisababisha vinginevyo raid angekuwa Salim! Mkapa ndio amefanya taifa letu kukosa muelekeo hata huyu tuliyenaye ni kazi yakeMimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.
Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA
My take: We are here BECAUSE of JK and dont include BWM
Kwa kweli kuna kizazi hiki cha kuanzia miaka ya 90 ambao ndio wengi kwenye mitandao,hawawezi kujua hali ilivyokuwa ngumu miaka ya 80 - 86
Kulikuwa na kipindi kigumu sitaki hata kukikumbuka.Nilikuwa mdogo sana ila hali tuliyokuwa tunapitia haijatoka akilini.
Kukosa sabuni za kufulia,kukosa mafuta ya kula,kula unga ulioharibika kutoka NMC,kutembea bila Viatu,viraka na wakati mwingine makalio yanabaki wazi,sukari guru au miwa kutumika kwenye chai(vikiwepo),Uji wa chumvi,kukosekana kwa dawa muhimu(Nakumbuka dawa ya sikio ilikuwa mafuta ya Kuku),kutokupatikana kwa magodoro,(watu wakilalia magodoro ya makapi ya mbegu za pamba,au gunia zilizotiwa nyasi),kutokuwepo kwa dawa za mbu za kutosha kiasi kwamba watu walichoma magunia ili mbu wakimbie kwa ule moshi,kuwepo kwa kunguni sugu wengi,chawa kwa wingi ilikuwa kawaida sana,vifo vya wajawazito ilikuwa tishio mno...na mengine mengi.
Kusema kweli sitaki kuzikumbuka Siku hizo na nilikuwa naomba Mungu zisotokee tena katika uhai wangu.Ninatamani kizazi changu kipite,ili kama kuna watu wanakiburi cha kupambana na hao mnaowaita mabeberu,mpambane nao.
Vijana wengi wanaishi kwa ndoto tu.Wanaona maisha ya kwenye muvi wanadhani ndiyo uhalisia.Na sisi watu wazima,tukiwapotosha,tutajikuta tunawaangamiza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahd kuficha upumbavu wako..sio kila mara unaitukuza CCM tu.Ni lini utatumia akili zako?Kwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo
Hivi wewe unafikiri unaweza kuwadanganya? Chombo chochote kama Simu, TV, computer na hata hiyo machine inayo tumika kupima Covid-19 na kutoa data haina siri! Jiulize China walipo taka kudanganya walifanikiwa? Kwanini?mleta mada una takwimu zozote za corona.
Ambazo ni tofauti na za wizara ya afya?.
Kama Who wamekubali kusubiri taarifa Za serikali wasubiri haraka za nini.
Vinginevyo watupe takwimu zao kuhusu corona hapa Tanzania na ziwe sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hawa watoto wanafikiri hivi tulivyo hatuwezi kufilisika na kuwa masikini Kabisa. Kumbe tukitengwa mwaka mmoja tu yaani tutakuwa hoi bini taabani. Huna mafuta, huna mazao ya kuuza nje unategemea nini?Na mimi nasema,kwa kizazi hiki,yakiwakuta yale ya miaka ya 80,nakuhakikishia kuwa hali itakuwa mbaya mno.Hawana uvumilivu kabisa hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wema ila ndio tegemeo letu kwa %80, hatuna uwezo wa kuwavimbia wakati sisi ni tegemeziKwahiyo wewe na akili zako unaona Mabeberu ni watu wema?
Kweli ujinga ni mzigo