Historia inanyesha hakuna housegirl mgumba

Historia inanyesha hakuna housegirl mgumba

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Wanaume tukumbushane tu hapa, historia inanyesha hakuna housegirl mgumba. Yaani ni miongoni mwa viumbe wenye uwezo wa kushika mimba kwa haraka na mapema mnoo! Wale wababa na watoto wa kiume wenye tabia ya kupenda kuangushia kwa kuwarubuni hawa wadada wa kutusaidia majumbani hakuna ambaye ameachwa salama! Yaani mwishowe lazima housegirl huyu apate mimba. Kama hauamini basi jaribu ujionee
 
Back
Top Bottom