Historia fupi ya marehemu

hii habari imebadilisha kabisa jina la konyagi mtaani kwangu saivi inaitwa faru jon
 
Duu toka lukeselo mpaka faru joni kweli mganga wao kiboko...na yote haya ni less than 14 days...! Shikamoo bapa
 
yaani naona aibu kuagiza maana kila mtu anakukata jicho utafikiri umeshikwa na nyara
[emoji23] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawaza matokeo hasa wakikumbuka ya yule nabii
 
unajua bapa a.k.a lukeselo a.k.a faru joni,tabia zote hapo ulizo zitaja anazo kabisa,ukilemaa hasa lazima ubabe wako utafikishwa kikomo na kafidodido,ukilegeza ukalala mtaroni hasa mitaa yetu michafu lazima yayi likuhusu
 
Kumbe john alikuwa Elton John bora alivyokufaga tu ametudharirisha wanaume [emoji20]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…