Wakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu
Hapa ni baada ya kutua nchini
Hapa anagawa dozi
Hapa kuna kipindi alikimbiwa na wote
Kuna nyakati inasemekana alikuwa ngangaripoa
Ila pia kila mbabe hakosi mbabe wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vingine vilishangaza na kutatiza wengi
uzao wake wa kwanza
uzao wake wa Mwisho
Mwisho wa enzi! RIP
Aah John, tulimwambia asiendekeze mambo ya wanawake hakusikia
Apumzike kwa amani si vizuri kumsema Marehemu kwa sasa tutaje mema yake tu
Mmesababisha nionekane chizi fuleshi hapa nilipo kwa kucheka peke yanguUhuni umemponza John
huo ni uchocheziMbona hizo pembe xilizopelekwa hazifanani na hizi akiwa hai?
huo ni uchochezi
Hivi walikosa majina mengine kweli hadi wamuite John!![emoji16] [emoji16]
huo ni uchochezi
Hivi walikosa majina mengine kweli hadi wamuite John!![emoji16] [emoji16]
huo ni uchochezi
Hivi walikosa majina mengine kweli hadi wamuite John!![emoji16] [emoji16]