Hisia zangu zinanituma nioe "Mwanajeshi"

Hisia zangu zinanituma nioe "Mwanajeshi"

Owa tu mkuu ila kama una tabia za hasira na kujimwambafai uziache,nadhani utakuwa una idea kidogo ya mafunzo ya kijeshi alionayo...
Yah dats sure mkuu...... Ila mwanamke n mwanamke...... Bla shaka kwakuwa tutaish wawl bas tutaunda kanuni moja..... Kuheshmiana na kupendana baaas... Vngne Ntatumia busara tu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Kabla hujamuoa kuna form za kujaza kwanza ukubaliane nayo utakayo yasoma kwenye hiyo form.
Pili huwa wanaliwa sana unaweza ukawa unachapiwa wa ofsa huko aliempa chaka zuri kazini na hawez kukataa ndo maana hat wao kwa wao ndoa hazidumu
Alaf tatu serekali itakupangia siku ya kulala ndan na mke wako

Ni hayo tu
Hapa kwenye kukupangia siku za kulala aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema ukioa mjeshi na siku umefumwa unachepuka kichurachura kinakuhusu mzee.
 
Back
Top Bottom