Hisia zangu zinanituma nioe "Mwanajeshi"

Mke ni mke haijalishi ana fani gani, kuwa mwanajeshi haimfanye kutokua wife material. Kwa ufupi heshimu ratiba zake za kazini kama ambavyo ungemuoa mwalimu, mama nt'ilie, advocate.... So kikubwa mapenzi ya dhati. Mbona hata raia kwa raia mwenzake wanazunguana. Oa basi mengine mkabidhi Mungu. Yeyote utakaemuoa jua kuna mengine hamtakubaliana 100% lakin mnayamaliza kistaarabu
 
Kabla hujamuoa kuna form za kujaza kwanza ukubaliane nayo utakayo yasoma kwenye hiyo form.
Pili huwa wanaliwa sana unaweza ukawa unachapiwa wa ofsa huko aliempa chaka zuri kazini na hawez kukataa ndo maana hat wao kwa wao ndoa hazidumu
Alaf tatu serekali itakupangia siku ya kulala ndan na mke wako

Ni hayo tu
 
#Mkuu.... Hakka una IQ Qar..... As counselor.... Nmekuelew indeed.... Ntafanyia kaz kla neno katika ushaur wako.... Mung akubark sana[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Kabla hujamuoa kuna form za kujaza kwanza ukubaliane nayo utakayo yasoma kwenye hiyo form.
Pili huwa wanaliwa sana unaweza ukawa unachapiwa wa ofsa huko aliempa chaka zuri kazini na hawez kukataa ndo maana hat wao kwa wao ndoa hazidumu
Alaf tatu serekali itakupangia siku ya kulala ndan na mke wako

Ni hayo tu
Nashkur kwa ushaur wako mkuu..... Ila sijakuelew hapo kwenye form za Kujaza....

#Mengine ntajitahd kuyachklia kama changamot..... Maana Kuchapiwa n tabia tu ya mtu..... Hata ukaoa mlokole..... Bdo atashonwa tu na wajuba[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Yap kuna form ya kujaza ili hata ukiowa siku usipo lala nae ndan wik nzima usilalamike sehem kuwa mke wangu kila siku analala kazin, au akienda operation yoyote hata ya mwez mzima mbal na nyumban we utulie tu ulee watt, na utaratib mwngne mwingine utaukuta huko
 
acha kabisa mkuu
nilisha wai kuwa na demu mjeda ana nyota mbili apa dsm kurasini kambini
ni malaya sana wanaliwa na wakubwa wao mkuu na wenyewe kwa wenyewe
ndo sababu wanapimwa ukimwi mara kwa mara
acha kabisa nikiadisia mkasa mzima utalia kakakakkakaka

achana nao
 
Wako vizuri ila tatzo wako bize mnoo..kwa wiki anaeza kulala ndani mara mbili,siku zingine analala kazini.
 
acha kabisa mkuu
nilisha wai kuwa na demu mjeda ana nyota mbili apa dsm kurasini kambini
ni malaya sana wanaliwa na wakubwa wao mkuu na wenyewe kwa wenyewe
ndo sababu wanapimwa ukimwi mara kwa mara
acha kabisa nikiadisia mkasa mzima utalia kakakakkakaka

achana nao
Khatar sana hii mkuu...... N kwel huwa inatokeaga kutokana na mazngra yao ya kla sku from kambn...... Ila sio mbYa mkuu... Ntaongeza umakn[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Back
Top Bottom