True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 588
- 900
- Thread starter
- #61
[emoji23][emoji23][emoji23]Sema ukioa mjeshi na siku umefumwa unachepuka kichurachura kinakuhusu mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sema ukioa mjeshi na siku umefumwa unachepuka kichurachura kinakuhusu mzee.
Au cYo[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu jiandae kugeuzwa punching Bag
Wanajeshi wananidhamu Sana.
Wanaamn sana katika kauli ya "Umoja ni nguvu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nidhamu watoe wapi, wamejaa huko uswahilini walevi tu. Tena wakilewa makelele kibao, wanajifanya wao ndio Mabondia, wanataka tu uwakate mitama wakawaite wenzao. Ni shenzi taipu tu.
[emoji23][emoji23]Huna lolote mkuda wewe..[emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Upo sahh mkuu..... Asant kwa ushaur[emoji3578][emoji3578]Hawana shida tena wengi wapo poa sana katika ndoa zao,
Tabia mbovu za mwanamke haziusiani sana na kazi ni kutokana na malezi aliyokulia,
Wanajeshi wananidhamu Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wako tayari kufa dakika yoyote..
Ukioa mjeshi nawe uwe hivo
Kila la heri
acha kabisa mkuu
nilisha wai kuwa na demu mjeda ana nyota mbili apa dsm kurasini kambini
ni malaya sana wanaliwa na wakubwa wao mkuu na wenyewe kwa wenyewe
ndo sababu wanapimwa ukimwi mara kwa mara
acha kabisa nikiadisia mkasa mzima utalia kakakakkakaka
achana nao
Pole sana huwezi fuga mnyama pori unless nawewe uwe mpori pori Itoshe kusema humuwezi mwanajeshi inataka uwe mvumilivu na ukubali sio wako peke yako"Bnafs aliniambia n ruksa...... Ila ntalifuatlia hlo kwa ukarb mkuu.... Nashkr kwa ushaur pia"[emoji3578][emoji3578]
Ntaiolea jamiii sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana huwezi fuga mnyama pori unless nawewe uwe mpori pori Itoshe kusema humuwezi mwanajeshi inataka uwe mvumilivu na ukubali sio wako peke yako
Habari matron pujoKila la kheri, wako vizuri tu. Tabia ya mtu haitazamwi kutokana na kazi yake. Oa, alimradi upendo wa dhati upo na mnaheshimiana bs.
Si kazi nini dhambi?Siku akikiambia ana gurd 3na kuendelea mtangulize mungu mbele maana hutomuona hadi amalize zam
Ila hawakulani tope tu sio?acha kabisa mkuu
nilisha wai kuwa na demu mjeda ana nyota mbili apa dsm kurasini kambini
ni malaya sana wanaliwa na wakubwa wao mkuu na wenyewe kwa wenyewe
ndo sababu wanapimwa ukimwi mara kwa mara
acha kabisa nikiadisia mkasa mzima utalia kakakakkakaka
achana nao
🤣🤣Hahahah uzuri ndoa ndio mtihani pekee ambao unatanguliziwa cheti kabla ya paper za kujibu