True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 588
- 900
Unfortunately has been deleted
"Bnafs aliniambia n ruksa...... Ila ntalifuatlia hlo kwa ukarb mkuu.... Nashkr kwa ushaur pia"[emoji3578][emoji3578]Siku hizi wameruhusu waolewe na raia?? maana kua kipindi walizuia, pia walizuia askari wa cheo cha chini kumuona mwanajeshi OFISA
Kisa ilikua raia kumpia mwanajeshi (Mkewe) au mpiganaji(mwanajeshi wa cheo cha chini) kumpiga OFISA (Mkewe)
Kama inaruhusiwa kila la heri maana ni watu kama watu wengine
Hkka mkuu..... Bla kuchka..... Ila chamcng kutokat tamaa tu[emoji1545][emoji1545]Kama ninyi wenyewe mmependana naww umerizika na tabia zake OA..
Humu utakachoambulia nikupewa tabia za genal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NO naamn katika busara mkuu... Haitafkia stage hyo.... Trust me[emoji3578][emoji3578][emoji3578]Ukimzingua anakuletea mamp wenzie.wanakupeleka kambini kuosha masufuria ya ubwabwa wa mzee Hashim Rungwe.
Oa tu kaka mini mtu wa masihara sana tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NO naamn katika busara mkuu... Haitafkia stage hyo.... Trust me[emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Sikumkuta bikra lakn mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae kut'mbewa
Itakuwa kuwa mung amepanga[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Siku akikiambia ana gurd 3na kuendelea mtangulize mungu mbele maana hutomuona hadi amalize zam
Amiin mkuu[emoji1545][emoji1545]maisha mema
Kwa hivyo kama hukumkuta bikra it's okay kutmbewa?Sikumkuta bikra lakn mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ofcoz Yes kaka..... Naamn katka hlo.... Ndo npo kwenye harakat za karb kbsa kulkmlsha hlo....[emoji3578][emoji3578][emoji3578]Kila mtu ana tabia yake, ukianza kuelezewa watajumuishwa wote ko hutaambulia chochote, Kama mnaeendana weka kitu ndani maisha yaendelee
Wote Tumekutana... Tunapenda Pesa mkuu... Hat me zanh nazpenda pia... Kam yy azipendavyo zake[emoji1533][emoji1533][emoji1533]Wanapenda pesa kuliko hata uhai wao