Kiula s shashota
Member
- Jan 9, 2013
- 46
- 3
Hisia zako za kimapenzi,Nazungumzia mapenzi ya aina yoyote
Halali mtu hapa, sisi wavuvi tunavuta kokoro letu mpaka usubuhi. Chezeya wavuvi wewe!.Nyie kesheni mda wangu wa kukesha umeishiwa dizeli.kwa hiyo napaki pembe niwahachie ninyi
nimezielekezea jf.. imagine mpaka sahivi sijalala. jamani founder Maxence Melo na Mike McKee mtupunguzie hii dozi ya limbwata.
Hii ngoma ya wakubwa, shurti ikeshe. Nimetoka fb hamna hata wa kufurukuta. Njoo nikupe udaku.
nimezielekezea jf.. imagine mpaka sahivi sijalala. jamani founder Maxence Melo na Mike McKee mtupunguzie hii dozi ya limbwata.
nimezielekezea jf.. imagine mpaka sahivi sijalala. jamani founder Maxence Melo na Mike McKee mtupunguzie hii dozi ya limbwata.
nipe nipe mkwe. huu udaku tukauongelee wapi sijui. chagua venue. lol
Hivi hawa jamaa wawili ni wazungu wa wapi?? nauliza tu....
Mahaba beach. Nikate boat ya saa ngapi:mwaaah::mwaaah: