Sawa nimekuelewasasa kama huna hisia za kimapenzi utaendeshaje mapenzi? Kukosa hisia hisia hizo ina maana hakuna nguvu za kiume, nguvu za kiume ndio uhai wa uzazi, bila uzazi hakuna uzazi kuendelea
Mkumbushe pia kutotumika nako ni Misuse!Si ndo vizuri ama?
Mazaga zaga kama heart breaks,magonno yanakupitia kushoto,hela zako zinaishia kwenye vitabu tu unavyodai unasoma
Mbona mi nipo na shondo langu hapa na hakuna mbambamba.miili yenu imepoa, mtakuja kutukanwa matusi makubwa siku mtakapochanganya chumbani kutaka kuzangamua demu
3 years? Na ni introvertSipigi punyeto
Unataka ushauri wa nini sasa! Wa kuziamsha hizo hisia, au!Hello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Achana nazo kuna mambo mengi ya kufanya..!!Mbona na mimi nipo kama mtoa mada ingawa mimi ni miaka 5 sasa. Je, kwa hali hii, unanisaidiaje
Shida Iko hapa,Hello everybody, straight to the point.