ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 8,777
- 21,106
- Thread starter
- #41
✔ babu nimechukua hapaKuendeshwa na hisia ni kushindwa kufanya maamuzi sahihi wakati mtu yupo kwenye extreme situation inayohitaji utulivu.
✔ babu nimechukua hapaKuendeshwa na hisia ni kushindwa kufanya maamuzi sahihi wakati mtu yupo kwenye extreme situation inayohitaji utulivu.
Asante mjukuu,✔ babu nimechukua hapa
Kumbe leo ijuma lolAsante mjukuu,
Jumaa Kareem 🕌 🕌
Pole, majukumu ndio uzee!Kumbe leo ijuma lol
Na mimi uzee unabisha hodi😀
Asante babu😍
😄😄😄Pole, majukumu ndio uzee!
karibu!Shukran
Hii nayo ni mpyaUsi chezee simu ya mganga, uta delete mizimu.
Ni muda wa kuenjoy sasa.,Usiruke na wowote uchunge wako moyo..Nimetikisa enhee hatua inayofata?
Sawaa😁Ni muda wa kuenjoy sasa.,Usiruke na wowote uchunge wako moyo..
Kwani unasubiri nini? 😁haya nimekuja mylavuu nipange
kuna la maana basi?, nataka kukuchachafya shoga angu😆Kwani unasubiri nini? 😁
Sheynziiiiii😁kuna la maana basi?, nataka kukuchachafya shoga angu😆
bado nalipiza ile siku ulinipa kisukari😆😆😆Sheynziiiiii😁
Siku gani tena mahi😁bado nalipiza ile siku ulinipa kisukari😆😆😆
unajizima data eeeh, si nilikwambia janaSiku gani tena mahi😁
😁😁😁 nimekumbuka lolunajizima data eeeh, si nilikwambia jana
haya bado naendeleza ligi😆😁😁😁 nimekumbuka lol