Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

Yaani eti niwe na Stress kwa sababu mwanaume mwenzangu ni Handsome au eti flani ana gari mimi sina?

Mtoa mada, Ubingwa wamekuvua nini? Pipa linavujisha au Soda haina Gesi
🤣🤣🤣🤣 Huyu kama kitambo mbona?
 
Ukitulia vizur na kusoma apo kwenye namba mbili unaweza pata harufu ya mavi(KUNA UWEZEKANO UYO MWENYE WIVU KWA MWANAUME MWENZIE BEKI AZIKABI)
 
KI nyau mkubwa wewe
1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume wa rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.

2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu, kuna hisia flan wanazipata za unyonge si unyonge, huzuni si huzuni ila kifupi tu, wanakua hawapo sawa.

Kuhusu gari, yoyote yule anaweza kumiliki ila kama hujaaliwa uzuri na unasura personal, bas tulia tu na umshukuru Mungu, hakuna kitu unaweza fanya ukabadilisha sura/shape yako.

Mi huwa nafanya makusudi, mda mwengine nikiona jamaa kakaa na demu wake, napita tu niwavuruge wote wawili. Mwanaume anapata inferiority complex, mwanamke ananitaman
 
Kwa sasa hisia inayotesa zaidi ni kuona jinsi masela walivyopigwa risasi na kuuwawa huku wengine hatujui miili yao ipo wapi na kama waliohusika na mauaji watawajibishwa
 
Back
Top Bottom