HISABATI: Unakumbuka nini

HISABATI: Unakumbuka nini

Mimi nilikuwa napenda Laplace's Transiformation pamoja na Egen vectors, bila kusahau Numerical analysis 1.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Vipi kuhusu Abstract Algebra na Functional Analysis?
 
Kigawe Kikubwa cha Shirika (KKS), Kigawe Kidogo cha Shirika (KDS) MAGAZIJUTO na MAJIRA YA NUKTA na MAUMBO (hapo unatakiwa kutafuta eneo lililotiwa kivuli) alafu pai tumia 3.14

...aisee..mie hesabu za sehemu...cjui robo na nusu toa theluthi ya tatu.julisha nusu kilo....kah...
 
nilikuwa sipendi complex numbers, Trig was tricky.

Afu functions of a single variable lol

acha kuzingua wewe,mpaka umesoma PCM inamaanisha unapenda hesabu kutoka moyoni.Bila kukosea "complex number" ni mziki wa A-level,frm 6.
 
Kumbe unajua jua hesabu ee! Mimi integration na differentiation ndio zilikuwa topics ninazozipenda!!

Mimi mdau mkubwa wa differential equation,kuna maswali fulani ya diff eqn yapo kwnye PURE 2 au backhouse,pale kwenye "miscellonous question" nilikuwa napenda hayo.
 
Mimi mdau mkubwa wa differential equation,kuna maswali fulani ya diff eqn yapo kwnye PURE 2 au backhouse,pale kwenye "miscellonous question" nilikuwa napenda hayo.

Mimi application ya differential eqn kwenye physics yale maswali ya rockets.
 
du mi nakumbuka nilienda kupiga tuition ilboru topic organic chemistry yani sijaona kitu maduu wa msalato na kilakala walikuwa wapo juu but now najua mpaka harufu ya benzene na kufunjafunja ma bond .
 
Nakumbuka Mathematical ANALYSIS ilikuwa nzuri sana.
 
Dah! MAGAZIJUTO ilinisumbua sana enzi zile primary ila secondary niliipenda sana BODMAS cha ajabu eti kuna watu waliniambia zinafanana. Teh teh.....

MAGAZIJUTO(MABANO, GAWANYA, ZIDISHA, JUMLISHA, TOA). BODMAS( BRACKET, ORDERS, DIVISION, MULTIPLICATION, ADDITION, SUBRACTION) ukiangalia hpo zote ni sawa bt w ulikuwa unasoma math like history thus y ulikuwa unaona tofaut.
 
Vipi kuhusu Abstract Algebra na Functional Analysis?

hizi ndo hesabu mkuu acha kabisa kitu hakina formula wala namba ni mambo ya kuunga dots kwa kutumia logics. Respect sana kwa hizo ma insues asee.
 
acha kuzingua wewe,mpaka umesoma PCM inamaanisha unapenda hesabu kutoka moyoni.Bila kukosea "complex number" ni mziki wa A-level,frm 6.

mbona complex ya A level ni introduction tu. Chuo inachukua 1 hr kui cover. Insue inaanza kwenye mambo ya contuor, resdue thrms, de movres' thrms etc. Kuna assumptions za kutosha sana.
 
mh,ucnikumbushe. mpk kesho me hesabu za repeating decimal zinaniona mpk wa leo!
 
mbona complex ya A level ni introduction tu. Chuo inachukua 1 hr kui cover. Insue inaanza kwenye mambo ya contuor, resdue thrms, de movres' thrms etc. Kuna assumptions za kutosha sana.

Contour integral, homomorphism, open ball, schwartz lemma, etc ebanaee sijui unaanzia wapi unaishia wapi, yaani full assumptions.
 
hizi ndo hesabu mkuu acha kabisa kitu hakina formula wala namba ni mambo ya kuunga dots kwa kutumia logics. Respect sana kwa hizo ma insues asee.

Mpaka leo bado naamini kua hakuna mtaalam mwingine wa hayo madude (functional analysis na abstract algebra) zaidi ya Dr. G. Kakiko labda na dogo mmoja anamalizia phd yake sijui wapi anaita mr. Mwanzalima, mkuu unawapata hawa watu?
 
Usinikumbushe machunguuuuu!!!!jamani nilichukia hesabu hadi basi...we had a teacher back in form one to foem four alikuwa mkali km pilipili mbuzi...Mwalimu Ngassa,wakuu ilikuwa akiingia tu darasani mnapewa quiz ya fasta, then anasema "kosea nikugongeeeee!!!!!" then OLE wako ukoseee unanyosha vidole the vinagongwa na rula ya mbao ..imagine na baridi lile la mbeya la 90's !!!!!!imagine....yaani ,
 
Dah! MAGAZIJUTO ilinisumbua sana enzi zile primary ila secondary niliipenda sana BODMAS cha ajabu eti kuna watu waliniambia zinafanana. Teh teh.....

vitu viwili tofauti kabisa mkuu. Waongo haooo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom