Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu.
Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule za msingi sekondary au hata walieoendelea nalo hadi "Havard" na "Oxfrd" za hapa bongo na huko majuu .
Sasa tukumbushane
Haya karibu tuzungumzie anything abaut HISABATI but not real hisaati equations

- Ni mada gani ya somo hil iiikusumbua au kuichukia- Nilichukia Hesabu za Log tehteh teh
- Ni mada gani ilikuvutia- Teheteh simultenous equation
- Ni topic gani ya hesabu unadhani ni muhimu kwa wanafuziwa sekndarykuimudu ambayo ina application kwenye maisha ya kitaa Mimi nadhani ni statistcis na Probability
Haya karibu tuzungumzie anything abaut HISABATI but not real hisaati equations