kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliyejuu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanvyodai?
Ni ujuha kujaribu kitu ambacho hata simple mind inajua kwamba hakiwezekani chini ya mfumo uliopo, labda iwe maigizo tu ya kutaka kuonekana wako fair. Halafu katiba inaruhusu rais kushtakiwa au wewe unakurupuka tu ili uonekane unatimiza wajibu hapo lumumba?Wameshajaribu?
Ni ujuha kujaribu kitu ambacho hata simple mind inajua kwamba hakiwezekani chini ya mfumo uliopo, labda iwe maigizo tu ya kutaka kuonekana wako fair. Halafu katiba inaruhusu rais kushtakiwa au wewe unakurupuka tu ili uonekane unatimiza wajibu hapo lumumba?
Katiba tuliyonayo hairuhusu Raisi aliyepo madarakani kushitakiwaNafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Sasa Wewe ujuwe kuwa Rais ana kinga ya kutokushitakiwa watamshitaki Vipi, unga mkono katiba ya walioba ipatikane Rais hatakwenda mahakaman kujibu mashitaka uongozi wake ukimalizika Lakin katiba ya sasa hivi hakuna kitu kama hicho kumshitaki Rais
Mimi huwa namsifia tu malaika asiyekosolewa wala kujaribiwa, lini ulisikia mimi nasema kavunja katiba?Sasa kwa nini mnasema kavunja Katiba kama hashitakiki?
Hakuna aliyesema rais ashtakiwe kwa sababu hata akina lissu wanajua haiwezekani kwa sheria ya sasa. Kuwa na kinga ya kutoshtakiwa sio sababu ya kukiuka katiba kama wapinzani wanavyodai. Akina lissu hawamjadili rais, wao wanaijadili na kuitetea katiba wanayoona inakiukwa. Hoja yako ni ipi hapo?Na hapo ndipo hoja yangu ilipo, kama Raisi hashitakiki iweje mseme yuko chini ya Sheria? Kwa logic ya kawaida ni kwamba yoyote aliye chini ya Sheria anashitakika!
Kutofuata katiba na sheria na kinga ya kutoshtakiwa kuna uhusiano gani?Sasa kwa nini mnasema kavunja Katiba kama hashitakiki?
Hakuna aliyesema rais ashtakiwe kwa sababu hata akina lissu wanajua haiwezekani kwa sheria ya sasa. Kuwa na kinga ya kutoshtakiwa sio sababu ya kukiuka katiba kama wapinzani wanavyodai. Akina lissu hawamjadili rais, wao wanaijadili na kuitetea katiba wanayoona inakiukwa. Hoja yako ni ipi hapo?
Acha kukurupuka kwa usiyoyajua.!Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Wewe ndo ujifunze hisabati...Tangu lini rais wa jmt akashitakiwa? Katiba ya jmt inampa rais kinga ya kutoshitakiwa.Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!
Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?
Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Kuvunja sheria na kuwepo sheria ya kumshtaki ni vitu viwili tofauti. Watu wanapotaka mabadiliko ya katiba hiyo ni moja ya sababu, tatizo ccm haitaki mabadiliko, wananchi wafanye nini?Na hapa ndipo logic inapokuja, unaposema kavunja Sheria unamaanisha nini kama hakuna Sheria ya kumshitaki?