Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe mkuu? Embu kunywa maji kidogo upate utulivu.Kwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?
Rocket/kombora moja bei gani?
Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe mkuu? Embu kunywa maji kidogo upate utulivu.Kwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?
Rocket/kombora moja bei gani?
Unataka kumiliki ya kwako?Himars moja iliyokamilika na makombora na system yake ni bei gani?
Naomba kujua bei tu.
Duh! Kumbe hao jamaa wana pesa nyingi kuliko nilivyofikiria.Unajua information za u super power wa Usa , zipo bali wengi wetu hatufatilii ndo maana kuna watu wana under eatimate power ya Usa. Mwaka 1997 kulikuwa na mvutano mkubwa baina ya bunge na bajeti ya wizara ya ulinzi, juu ya ujenzi wa ndege ya kivita , Northrop Grumman, wizara ilikuwa inataka bajeti ya kutengeneza ndege 50 kwa mwaka , na bunge lilikuwa linataka ziitengenezwe ndege 5 kwa mwaka ,, ndege hii moja kwa miaka ile ilikuwa inagharimu karibu dola bilioni 2.1
Na chenji ya Kms kadhaa inabakia.Kwa Dar Moro Kombola linaenda linapiga na kurudi tena Dar kwa hizo Kms...![]()
Ukiwa maskini unafikia hatua unaona msaada ni haki yako. Huo ni upumbavu mtu anamsaidia amtakaye kwa maslahi yake.Nchi kama Sri Lanka,Lebanon,Haiti zimeingia kwenye crisis kubwa ya kiuchumi mpaka usalama umekuwa hatarini,sio Cha US,EU,UN,IMF wala WB waliongia kuokoa jahazi walau Kwa makubaliano!Hawana interest kabisa,Sasa ngoja itokee vita ndio mtaona wanavyosogea kujitongozesha!
Walau Russia aliwasaidia Sri lanka mafuta!
Linarudi tena mpaka mlandizi....Na chenji ya Kms kadhaa inabakia.
Nani amesema msaada ni haki Yako?Nimepoint kwamba,hata Ukraine angehitaji msaada au mkopo wa masharti nafuu wa miradi ya maendeleo Wala asingepewa pesa zote hizo!Ila vita,unapewa vizuri Tena unaambiwa tutajadiliana namna ya kurudisha vita ikiisha!Ukiwa maskini unafikia hatua unaona msaada ni haki yako. Huo ni upumbavu mtu anamsaidia amtakaye kwa maslahi yake.
Linarudi tena mpaka mlandizi....
Na bado wakachezea kichapoUS walikuwa wanachoma dola za kimarekani million 300 kila siku kwa miaka 20 katika vita vya Afghanistan.


Sasa usimpangie mtu kitu cha kukusaidia. Tafuta pesa... Utaolewa bila mahari ukiwa na tabia hii. Na kma Ukraine hataki msaada huu aseme tu. Ila usikiwekee kuwa ni haki yako kusaidiwa....si nzuri kiafya. Kuna familia moja iliolewa na mtu mmoja kwa sababu kama hizi.😁Nani amesema msaada ni haki Yako?Nimepoint kwamba,hata Ukraine angehitaji msaada au mkopo wa masharti nafuu wa miradi ya maendeleo Wala asingepewa pesa zote hizo!Ila vita,unapewa vizuri Tena unaambiwa tutajadiliana namna ya kurudisha vita ikiisha!
Matokeo yake Hadi vitukuu vinalipa deni!
Haina tofauti na mechi moja ya UEFA CL Barcelona na Celtic possition 87 kwa 13 lakini barca kapigwa 2. 1US walikuwa wanachoma dola za kimarekani million 300 kila siku kwa miaka 20 katika vita vya Afghanistan.
Wapi huko? Kwani hawakufanikiwa lengo la kumwondoa Gaidi aliyekimbia na baadaye wakaja muua mafichoni?Na bado wakachezea kichapo![]()
Sasa si wanapigana wenyewe kwa wenyewe...Sasa kama hiyo hima ilishapigana adi afghanstan ilikuaje us akakimbia vita kule na kuwaacha watalebani wanatamba?
Umeandika hapa hata mimi nimesoma kwa hiyo walitaka uendelee kufichwa huko ili iweje...Kwani shida Iko wapi mkuu . Sisi zote tupo upande wa Ukraine . Just a copy and paste. Mwenyewe shida hata Hana . Kama nimekukwaza pole mkuu.
Mkuu Nikiona element za lugha isiyo ya kiungwana,basi huwa mjadala nafungia hapo!Siku njema!Sasa usimpangie mtu kitu cha kukusaidia. Tafuta pesa... Utaolewa bila mahari ukiwa na tabia hii. Na kma Ukraine hataki msaada huu aseme tu. Ila usikiwekee kuwa ni haki yako kusaidiwa....si nzuri kiafya. Kuna familia moja iliolewa na mtu mmoja kwa sababu kama hizi.😁
Aliekudanganya ni misaada nani, mikopo yote hiyo.Bila kusahau . Polio , kifaduru , matetekuanga , kifua kikuu, aka TB, surua , pepopunda , tetanus, p. Nimesahau jina ile sindano anayochomwa mtu aliyebakwa, CD iliyopasuka ndani ya 72 hours asishikwe na HIV kama sijakosea inaitwa PPE .Ile sindano unayochowa kwenye bega inaacha alama .ZOTE NI MISAADA KUTOKA KWA WATAKATIFU WATU WA MAREKANI .WAARABU WANAKUPA NINI SANA SANA NI TENDE TENA ONCE A YEAR.SINDANO MOJA YA CHANJO NI LAKI 4 MPAKA 6 .ACHA USA AITWA TAIFA TEULE.
Umesoma nilimquit kwanza kabla ya kunikuit? Fuatilia elewa acha paparaWapi huko? Kwani hawakufanikiwa lengo la kumwondoa Gaidi aliyekimbia na baadaye wakaja muua mafichoni?
Sasa yeye us kiherehere cha nini kilimpeleka kule?Sasa si wanapigana wenyewe kwa wenyewe...
Akipewa Ukraine lazima tu atapeleka maumivu UrusiHilo kombora ni ATACM ambalo lina range ya 300km
Ukraine hana njia ya kulaunch hizo tomahawksTomahawk Ni Long Range Missile,zinarushwa kutoka kwenye Meli za Kivita. Zinapiga 2500km+.Urusi akipiga Nyuklia huko Ukraine,Basi Marekani anaipa Ukraine Tomahawk hata 500 uone Moscow itakavyowaka Moto.
Aliekudanganya ni misaada nani, mikopo yote hiyo.