HIMARS ni nini?

HIMARS ni nini?

Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .
Hiyo mizungu ni mijinga na mipumbavu. Yaani hela wanapeleka kwenye silaha za kuua watu. Mpaka sisi huku tusiohusika tunateseka. Yaani roketi moja kama bomba la mabati mabati eti ndio milioni miambili 😂😂😂. Hao jamaa wanahela za kuchezea na ni wapumbavu sana na wajingawajinga 😂😂😂
 
Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .
Nchi kama Sri Lanka,Lebanon,Haiti zimeingia kwenye crisis kubwa ya kiuchumi mpaka usalama umekuwa hatarini,sio Cha US,EU,UN,IMF wala WB waliongia kuokoa jahazi walau Kwa makubaliano!Hawana interest kabisa,Sasa ngoja itokee vita ndio mtaona wanavyosogea kujitongozesha!
Walau Russia aliwasaidia Sri lanka mafuta!
 
Himars moja iliyokamilika na makombora na system yake ni bei gani?

Naomba kujua bei tu.
Siku mkomandoo wenu huko wakiacha kukimbia na mabegi mgongoni, kuvunja tufali kwa mkono na kupindisha nondo siku za sherehe na maonyesho ndio tutakupeni bei ya HIMARS 1.,
 
Nchi kama Sri Lanka,Lebanon,Haiti zimeingia kwenye crisis kubwa ya kiuchumi mpaka usalama umekuwa hatarini,sio Cha US,EU,UN,IMF wala WB waliongia kuokoa jahazi walau Kwa makubaliano!Hawana interest kabisa,Sasa ngoja itokee vita ndio mtaona wanavyosogea kujitongozesha!
Walau Russia aliwasaidia Sri lanka mafuta!
Inawezekana vita ni biashara inayolipa sana. Yaani nimeshangaa kujua bei ya himar na roketi moja(roketi 1 ni 200m)! Kama wana nia njema waje watusaidie huku bongo, tozo zinatutesa na watu hatuna ajira
 
Back
Top Bottom