HIMARS ni nini?

HIMARS ni nini?

Kwani huko Ukraine wana himars ngapi? Pesa ya kununulia wametoa wapi? Au ndio misaada ya usa?


Rocket/kombora moja bei gani?
Wanatumia zile USD ambazo zimepigwa tanji na Nchi za Magharibi mkuu . Mrusi anajikaanga na mafuta yake mwenyewe mkuu . Matajiri wengi wenye account wa Russia nazo zimepigwa tanji mkuu. Ndio maana nasema Huyu SHETANI Putin akikaa vibaya wanaondoka na kichwa chake . Hata Mimi Shetan Putin ananitesa sana . Alaaniwe
 
Wanazo 20.

Wamepewa Kama msaada na USA.

Rocketi moja ni $110k mpaka $150k kibongobongo ni km TSH milioni Mia mbili mpaka Mia Tatu na kitu Kwa kombora moja.
Duh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha 😂😂😂
Yaani hilo bomba moja la mabati na makorokoro yake ni milioni mia mbili 😂😂

Na kwa siku huwa ni roketi ngapi zinarushwa?
 
Hahahaa!!eti mabomba na mabati mabati!!
😂

Wazungu ni wapumbavu sana. Yaani hayo mabomba ya mabati ndio yauzwe milioni miambili? Halafu wanapigana wao huko na mabomba yao, halafu sisi huku tunateseka maisha yanakuwa magumu. Kumbe wanarushiana mabomba ya mabati tu. Wajinga sana. 😂😂


Yaani tunateseka. Kwasababu watu wanarushiana mabomba ya mabati 😂😂😂.

Bora wangeandaa pambano la ngumi kati ya Putin na rais wa Ukraine. Atakaye shinda ndio aongoze.



Yaani tunateseka na maisha magumu kisa watu wanarushiana mabati ya milioni miambili. Wajinga sana 😂😂

Au hizi Vita za kijingajinga, ndio dalili ya siku za mwisho?
Hahahaa!!eti mabomba na mabati mabati!!
 
Duh! Hawa wazungu wanapiga hela kwenye silaha 😂😂😂
Yaani hilo bomba moja la mabati na makorokoro yake ni milioni mia mbili 😂😂

Na kwa siku huwa ni roketi ngapi zinarushwa?
Hizo ni msaada ukraine hajatoa kapewa msaada. Kimsingi zimenunuliwa kwa kutumia bajeti ya wizara ya ulinzi Usa
 
Hao usa itakuwa wana hela nyingi sana ambazo hazina kazi. Wao wanaona bora wapige hela kwenye silaha
Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .
 
Back
Top Bottom