HIMARS ni nini?

HIMARS ni nini?

Hivi mkuu hawa jamaa wanatengeneza silaha peke yake hakuna vitu vya kutumia sisi wananchi wa kawaida?
... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
 
Ndio Bei yake Mkuu. Huu mfumo wala sio complex kivile ukilinganisha na mifumo mingine km Tomahawk,nk
Tomahawk Ni Long Range Missile,zinarushwa kutoka kwenye Meli za Kivita. Zinapiga 2500km+.Urusi akipiga Nyuklia huko Ukraine,Basi Marekani anaipa Ukraine Tomahawk hata 500 uone Moscow itakavyowaka Moto.
 
Tomahawk pia zinaweza rushwa toka Ardhini.
 
Yale ma S-300 na S-400 yanachapwa na HIMARS kama yamelala vile.
Kwa kuongezea in kwamba S300 na S 400 yameundwa specific kwa kidungua makombora mazito,ndege,na helicopter ,maana kombora moja la S 300 gharama yake ni USD 1.2,sasa ukimbizane na kombora moja la himas ambalo ni dola laki 1.6 ,si kutiana hasara ,ndio maana hii mifumo haina mda na maroket ,mfano maroket ya Russia moja linakost around dola 10,000 yan ukiwa na hii mifumo ya kisasa ya kudungua makombora inabid mtulie tuu maroket yakafanye yanchoweza maana ni gharama kuyadungua,unadungua kitu cha million 20 ,kwa kutumia billion 2.5
 
... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
Bila kusahau . Polio , kifaduru , matetekuanga , kifua kikuu, aka TB, surua , pepopunda , tetanus, p. Nimesahau jina ile sindano anayochomwa mtu aliyebakwa, CD iliyopasuka ndani ya 72 hours asishikwe na HIV kama sijakosea inaitwa PPE .Ile sindano unayochowa kwenye bega inaacha alama .ZOTE NI MISAADA KUTOKA KWA WATAKATIFU WATU WA MAREKANI .WAARABU WANAKUPA NINI SANA SANA NI TENDE TENA ONCE A YEAR.SINDANO MOJA YA CHANJO NI LAKI 4 MPAKA 6 .ACHA USA AITWA TAIFA TEULE.
 
Kwa kuongezea in kwamba S300 na S 400 yameundwa specific kwa kidungua makombora mazito,ndege,na helicopter ,maana kombora moja la S 300 gharama yake ni USD 1.2,sasa ukimbizane na kombora moja la himas ambalo ni dola laki 1.6 ,si kutiana hasara ,ndio maana hii mifumo haina mda na maroket ,mfano maroket ya Russia moja linakost around dola 10,000 yan ukiwa na hii mifumo ya kisasa ya kudungua makombora inabid mtulie tuu maroket yakafanye yanchoweza maana ni gharama kuyadungua,unadungua kitu cha million 20 ,kwa kutumia billion 2.5
Hiyo inaitwa kuua nyuki kwa kifaru! Utakuwa huna tofauti na mwendawazimu! Marekani wako very intelligent indeed!
 
... Kiongozi vipi? Umesahau kwa hisani ya watu wa Marekani? ARV's; malaria, etc? Mungu aibariki Marekani.
Haha mkuu namaanisha hawa lockheed hawana hata ka saa wanatengeneza ninunue mkuu.
 
Tofauti kati ya kombora na loketi ni nini waku
 
Kwani shida Iko wapi mkuu . Sisi zote tupo upande wa Ukraine . Just a copy and paste. Mwenyewe shida hata Hana . Kama nimekukwaza pole mkuu.
Hujanikwaza kabisa,wakati nasoma ndiyo nilijaribu ku recall kuwa nimesoma wapi kwanza hiyo comment.Lakini nimekuja kuona ume admit baadae tena kiungwana kabisa.Tuko pamoja sote Team Ukraine.
 
Hujanikwaza kabisa,wakati nasoma ndiyo nilijaribu ku recall kuwa nimesoma wapi kwanza hiyo comment.Lakini nimekuja kuona ume admit baadae tena kiungwana kabisa.Tuko pamoja sote Team Ukraine.
Amina mtumishi wa Mungu.
 
Endeleeni story za Himars,wenzenu wanafukuliwa 400+ huko Izyum kwenye kaburi moja!Russia anapiga na kufukia,sensa utajifanyia mwenyewe!
team rainbow wa huku makangalawe kila siku wanalishwa propaganda za upande mmoja zinazoibeba ukraine, halafu wanajiona washindi.

hawajishughulishi kutafuta taarifa za kinachowapata "wayukreni" kupitia kichapo cha mrusi.

ukweli ni kwamba mrusi kimya kimya anaendelea kuwamaliza wayukreni. ipo siku ukweli utawekwa wazi, dunia itapigwa na butwaa.

kwa sasa tuacha waendelee kumeza propaganda za vyombo vya habari vya magharibi na washirika wao.
 
Back
Top Bottom