Hilo neno maana yake nini?

Kumalija ni ukoo unapatikana kwa wasukuma kanda ya ziwa.Nimesoma nao wengi tuu wenye majina hayo.Ni sawa na Ukoo wa Mborro uchagani....
 
Makabila yana majina mazuri balaaa
 
Kumalija ni jina common la kabila wa wasukuma ndugu yangu
 
Mzee mwenye hiyo Hotel ana guest house zake zinaitwa Misana zipo maeneo ya Natta
 
Usishangae sana Mkuu.
Kuna watu huko Tunduru Wanaitwa MBANA, na nilisoma na binti mmoja anaitwa TULITO...mtoto wa Mzee Mbana. Full name ni TULITO MBANA.
Kwani hilo nalo "halina ladha", hebu dokeza maana yake? hahahah
 
apo sio mwanza nyegezi hapo, nilishalala hapo mara kadhaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…