Hili Vazi Limetisha

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12919918_836086189830038_7326644652296688759_n.jpg
 
halafu inaonekana jamaa katoka kufanya 'facial'
 
Maskini masurumpwete wanatamaniwa. Yule mbamba mwenye T shirt ya ya maisha bora kwa kila mtanzoo anaweza akaiuza kwa $$$, ili anunue decent clothes
 
kwa mavazi hayo itakuwa vigumu kuwatofautisha vichaa na wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom