Hili ushawahi kulifanya?

Hili ushawahi kulifanya?

Ndio maana hii nchi bado maskini.
Mkuu kama wewe sio mwanafunzi basi jitafakari.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi huwa haipiti siku bila kuwaza kuwa na maisha mazuri,uzuri utokanao na nguvu /jitahada zangu binafsi .
 
Nyumbani niko na wife, muda wote yupo, kazini akili yangu inakuwa hapo, na ninakuwa huku Jf pia and kwa sababu kazi yangu inahusisha mtandao, ninapokuwa mbali na nyumbani hasa nje huwa sifikirii chochote zaidi ya kilichonipeleka kifupi naweka kaa hata mwezi ama zaidi nisifikirie mapenzi kabisa, kwangu nikihitaji penzi muda wowote nalipata hata muda wa kazi simu moja tu kwa mama tombombo
 
Za weekend ndugu mabibi na mabwana wa jukwaa hili pendwa ningependa kwenda moja/moja katika mada yangu.

Hivi ushawahi kupitisha siku nzima yaani 24hrs pasipo kufikiria ama kuwazia kitu chochote kinachohusu mapenzi/mpenzi? kwa mfano mimi naweza pitisha siku nzima ama juma zima pasipo kuwazia siasa/wana siasa ama, kuwazia dini, ama kuwaza kuhusu utajiri.

Lakini kusema ule ukweli mimi sijawahi kupitisha hata lisaa limoja pasipo kuwazia kitu mapenzi(kitu chochote kinachohusu mapenzi kama kuumizwa, kumbuka mpenzi wangu, kukumbukia mahaba niliyowahi kuyapata ama ninayo yapata kwa sasa, kujutia kumuacha mtu ambaye nimeijua thamani yake baada ya kumuacha) yaani kwa ujumla chochote kinachohusu mapenzi.

Kwako mwana jukwaa ulishawahi kumaliza siku nzima pasipo kuwaza chochote kuhusu mapenzi?
PROFESA_KAPUYA AMESEMAJE KUHUSU HILI LABDA ?

TUANZIE HAPO KWANZA.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Nililala lock up siku mbili sikukumbuka ata kama Nina mpenzi. Maisha hayaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom