Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,921
- Thread starter
- #21
Mimi nishawahi, hasahasa mwisho wa mwezi pale subordinates wanasubiria kupata salaries (tarehe za mwisho wa mwezi).Za weekend ndugu mabibi na mabwana wa jukwaa hili pendwa ningependa kwenda moja/moja katika mada yangu.
Hivi ushawahi kupitisha siku nzima yaani 24hrs pasipo kufikiria ama kuwazia kitu chochote kinachohusu mapenzi/mpenzi? kwa mfano mimi naweza pitisha siku nzima ama juma zima pasipo kuwazia siasa/wana siasa ama, kuwazia dini, ama kuwaza kuhusu utajiri.
Lakini kusema ule ukweli mimi sijawahi kupitisha hata lisaa limoja pasipo kuwazia kitu mapenzi(kitu chochote kinachohusu mapenzi kama kuumizwa, kumbuka mpenzi wangu, kukumbukia mahaba niliyowahi kuyapata ama ninayo yapata kwa sasa, kujutia kumuacha mtu ambaye nimeijua thamani yake baada ya kumuacha) yaani kwa ujumla chochote kinachohusu mapenzi.
Kwako mwana jukwaa ulishawahi kumaliza siku nzima pasipo kuwaza chochote kuhusu mapenzi?
stress hizo ni za kila mwezi ama ni mara moja ilikutokea!!?Mimi nishawahi, hasahasa mwisho wa mwezi pale subordinates wanasubiria kupata salaries (tarehe za mwisho wa mwezi).
Kwao ni faraja ila upande wa pili ni full stress..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi cwezi kabisa hata nikiwa chooni nawaza mapenziZa weekend ndugu mabibi na mabwana wa jukwaa hili pendwa ningependa kwenda moja/moja katika mada yangu.
Hivi ushawahi kupitisha siku nzima yaani 24hrs pasipo kufikiria ama kuwazia kitu chochote kinachohusu mapenzi/mpenzi? kwa mfano mimi naweza pitisha siku nzima ama juma zima pasipo kuwazia siasa/wana siasa ama, kuwazia dini, ama kuwaza kuhusu utajiri.
Lakini kusema ule ukweli mimi sijawahi kupitisha hata lisaa limoja pasipo kuwazia kitu mapenzi(kitu chochote kinachohusu mapenzi kama kuumizwa, kumbuka mpenzi wangu, kukumbukia mahaba niliyowahi kuyapata ama ninayo yapata kwa sasa, kujutia kumuacha mtu ambaye nimeijua thamani yake baada ya kumuacha) yaani kwa ujumla chochote kinachohusu mapenzi.
Kwako mwana jukwaa ulishawahi kumaliza siku nzima pasipo kuwaza chochote kuhusu mapenzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ni kwa sababu wewe unashiba
[emoji23][emoji23]ndio maana wa Tz tukiamka asubuh mkono uko kule!!
Hahahahaha,,,, mkono unapima joto la sehemu fulani[emoji23][emoji23]ndio maana wa Tz tukiamka asubuh mkono uko kule!!
Sent using Jamii Forums mobile app
maisha ya wabongo wanayajua wao, maana hayapo kokote kule duniani!!
unacheeeeka!![emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka kwa sauti mpaka kwenye gali wananishangaa eti hayapo kokote dunianimaisha ya wabongo wanayajua wao, maana hayapo kokote kule duniani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni shida mkuuMimi haiwezi kupita sekunde bila ya kuwaza chura![emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna miezi mingine ni dume hasahasa January, kwahiyo ikikaribia mwisho wa mwezi ni panadol tu...