Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,577
Kwa moyo wa upendo leo nimeshtushwa kuona nilichokiona
Inspekta mmoja ana nyota mbili akishirikiana na vijana wapya wanaovaa brown na vikoti walihamishia makazi yao kimara bucha ,Walichofanya n kukamata magari yanayotokea service road baruti
Binafsi sikuwa mhanga ila mazingira yaliokuwa yanaendelea yalishtusha watu.. Kwanza walikamata gari kama 21 zikawekwa pembeni service road
Madereva wakaungana nakuwafwata jamani tuelimisheni kuna shida wakaanza kujibu hujui kosa.. Nafikiri siowote wanajua service road fulani wanatakiwa wanaotoka kushoto ama kulia ndio waitumie.. Naamini lengo la kwanza kumkamata mtu ni kumwelimisha ajue kosa yanayofwata unamwachia aliekukamata.. Aikuwa hivyo.. Madereva wakanza kushangaa Mh mmoja kaenda kwa mbele..
Wakaanza mfwata Mmoja mmoja wa madereva... Anyway wa kwanza na wa pili waliachiwa hao waliomsogelea next akawambia waiteni na wenzenu. Kwa nia njema nilijua wanaelimishwa lakini waliishia kuchukuliwa leseni zao na watatu wakagoma wakafwata na kijana mmoja akachukua funguo zao...
Inspekta akawambiaa naenda kulaza magari yote mbezi na nishapiga simu.. Wasafishe parkin zinakuja gari kadhaa.. Akadamka mzee mmoja na kusema sheria zikowazi ukikamata unamwelimisha mtu ama unampuga faini.. Yule mkuu akaita dogo mmoja nakumwambia mzee njoo unataka faini akamwambia huko silipi mpaka mlete efd mashine...
Kwakwelii ilikuwa patashika wananchi wakawashauri kwanini mchana mna EFD usiku mmeamua kukamata toeni basi EFD.. Wah wakasogea pembeni na badae wakarudi wakashauri kila mtu arudi kwenye gari lake
Political wetu mmoja akaanza kuwandikia faini dereva mmoja baada ya mwingine wakashuka wote wakamfwata Mh sisi hatukatai kulipa swala tunaitaji EFD mashine..
Wananchi wakajazana wasijue kinachoendele mwisho akawambia kama amtaki faini ya karatasituendeleni kukaaa.. Mpaka saa tatu nanusu toka mbili kamili ni. Tumewaacha wakiombeleza walipie EFD.. Sijui mtasaidiaje hili swla na elimu kwa wananchi mlishawapa walipie via EFD kila kona...
Tuwaelimishe... Jambo moja la kushauri
1) Kimara bucha ni sehemu ilionashida wanapomkamata mtu ama waruhusiwe baada ya kupewa somo ama wamwandikie mhusika sametime apewe resit yake..
La pili service road hili ni ndugu zangu wa TANROADS muweke alama kabisa kama unatokea ubungo... Kwenda kimara service road ruksa kutumia kama unaelekea kwako ni ya kushoto.. Kulia utazaa mapacha
Kama unatoka kimara kuelekea ubungo service road ya kutumia ni ya kushoto kwako.... Pamoja na haya... Pale njia ya kwenda kanisani nako zilikamatwa gari.. Zingine zinaelekea kusali... Tuwasaidie hawa walio right side jamani