Hili tatizo la idm jamani, Msaada tafadhali

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Samahani waungwana, naomba kujuzwa, hivi hili tatizo la idm(internet download manager) kuleta kisanduku cha kuandika username na password kila napotaka kudownload file ni kwangu tu au ndio utaratibu wameuanzisha sasa? nimejaribu kufuata ushauri mbalimbali wa wataalam hapa jukwaani bila mafanikio. Kwangu tatizo limeanza jana, nimejaribu ku-uninstal na ku-instal upya kwa kufuata baadhi ya link zilizotolewa na watalaam hapa bila mafanikio. Naombeni msaada kwa yeyote aliye na ufumbuzi.
 
iuninstall halafu nenda torrent kadownload ambayo ni cracked halafu uinstall hiyo halafu fuata maelekezo jinsi ya kuinstall kwenye folder la read me...
 
kama ni idm 6.14 tumia hili file kucrack, hutaona tena huo ujumbe maisha, ila usiupdate, kama utaupdate basi itabidi ucrack tena.
(download attachment na utumie winrar)
Copy IDMan.exe to Install Directory (C:\Program Files\Internet Download Manager) and Replace It

Attachments

Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
 
ku crack ni kufananishia..
 
Ikikuambia new version available wewe achana nayo, usifanye update!
 
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.
we copy hilo file na upest kama ilivyoelekezwa hapo juu. itakuambia file lipo we replace. hayo maneno mengine ni mbwembwe tu. kumbuka inabidi ulitoe kwenye rar hivyo inabidi uwe na software ya ku-unrar
 
Samahani waungwana, naomba kujuzwa, hivi hili tatizo la idm(internet download manager) kuleta kisanduku cha kuandika username na password kila napotaka kudownload file ni kwangu tu au ndio utaratibu wameuanzisha sasa? nimejaribu kufuata ushauri mbalimbali wa wataalam hapa jukwaani bila mafanikio. Kwangu tatizo limeanza jana, nimejaribu ku-uninstal na ku-instal upya kwa kufuata baadhi ya link zilizotolewa na watalaam hapa bila mafanikio. Naombeni msaada kwa yeyote aliye na ufumbuzi.

brother, final soln ya IDM ilitolewa humu!
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...420410-full-idm-6-15-biuld-5-hapa-chukua.html
 
Wakuu muwe wepesi kusearch

Mie nilishaweka njia ya kuhack IDM forever
 
Wakuu muwe wepesi kusearch,

Mie nilishaweka njia ya kuhack IDM forever
 
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.

Hahaaha, crack maana yake ni kuwa mad...kuchizi!
Katika mambo ya computer, crack ni code inayoidanganya software na kuruhusu key ziweze kuwa authenticated kama za kweli vile.
Kikawaida hiyo IDM unayotumia unatakiwa UINUNUE kwa pesa halali na upewe KEY, hizo key ndiyo unatakiwa ujaze kwenye hizo form unazolalamika kuwa zinatokea mara kwa mara. Kwa vile wewe haujanunua hizo key, badala yake unatakiwa utumie hiyo crack, ikopy ukaipaste kwenye directory uliyoinstal hiyo IDM (kwa kawaida ni C:\Program Files\internet download manager) ukishapaste hiyo crak unarudi kuactivate hiyo software kwa kutumia key ulizopewa na wadau (ambazo si halali) na zitatambulika kuwa ni halali kutokana na kazi ya crack.
 
Wakuu hii kitu ya idm hii hii niliidownload na niliitumia lakini firewall ya Comodo inaidetect kama idm.exe ni danger sana sasa sijui kama kuna ujanja fulani alioufanya cracker ili kutuibia information za pc zetu au ni false positive

Sijaifuatilia hiyo link, lakini ni kawaida crack mara nyingine ikaambatana na Trojans, au la hiyo Comodo huenda umeset very high security level, na kwa kuwa crack kwa kawaida ni hack tool ni sahihi Comodo kusoma positive, kwa hiyo unatakiwa uwe na uhakika na chanzo chako. Napendelea TPB kwa sababu kule kuna trusted members, na hata wadau wanacomment pale chini kama file lina matatizo unajua mapema kabla haujalishusha!
 
we copy hilo file na upest kama ilivyoelekezwa hapo juu. itakuambia file lipo we replace. hayo maneno mengine ni mbwembwe tu. kumbuka inabidi ulitoe kwenye rar hivyo inabidi uwe na software ya ku-unrar

Hahaha, nimefurahi na hayo maneno Mkuu!
Kiukweli siyo mbwembe, unachofanya ni kureplace file linalohusiana na authentication kuweka lililoandikwa kwa ajili ya kuidanganya IDM kuwa key inayoingizwa ni sahihi!
 
Asante, lugha zenu nyingine hizi za kitalaam ngumu kuelewa kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi, ku-crack ndo tunafanyaje mkuu, sina idea yoyote hapo, naomba nielekeze cha kufanya na hiyo file.

Mkuu umenifurahisha sana, kweli wewe unakiu ya kutaka kuelewa, fuata maelekezo ya wataalamu hope watakusaidia.
 
Sijaifuatilia hiyo link, lakini ni kawaida crack mara nyingine ikaambatana na Trojans, au la hiyo Comodo huenda umeset very high security level, na kwa kuwa crack kwa kawaida ni hack tool ni sahihi Comodo kusoma positive, kwa hiyo unatakiwa uwe na uhakika na chanzo chako. Napendelea TPB kwa sababu kule kuna trusted members, na hata wadau wanacomment pale chini kama file lina matatizo unajua mapema kabla haujalishusha!

Halafu kitu kingine ambacho huwa najiuliza ni kwamba hawa watu wanaokuwa wanacomment kuhusu file fulani kwamba ni zuri au ni baya je, haiwezi kuwa njama ya wale watu wabaya wanaoharibu computer na kuiba dataAu taarifa za watu? Kwa mfano rejea kwa watu wanaochezesha kamari kamari ( huwa wana watu wao pembeni wanaojidai kama ni wateja kumbe lo!)
 
Hahahaaa, wakati mwingine ni kweli hutokea kitu kama hicho. Lakini kwa TPB kuna watu wa kutrust, na hata comments ukiziangalia ziko fair tu, watu wanauliza mambo na ufafanuzi, wanatoa mrejesho baada ya kuscan file, kiufupi comments zinakuwa ziko fair, na members wengine tunafahamiana mle, kiufupi ni ngumu sana mtu accoment uwongo na kusiwe na watu wakumcrash!
 
Back
Top Bottom