Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 968
- 439
IDM nzuri chukua hapa kisha unzip kama una idm uninstall then install setup.exe ikimaliza subiri kama sekunde kumi kisha install regstration.exe after hapo restart computer na utakuwa umemaliza kila tatizo kuhusu idm pia fungua web browser yako kwa mozila nenda tools kisha Add-ons alafu extension kisha weka enable hapo umemaliza vita na idm haitasumbua tena mpaka computer yako utakapo ichoka na kuitupa kama ninavyofanyaga nikitaka kununua mpya
goodluck and kazi njema
goodluck and kazi njema