Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Duh nlikuwa sijui kama kutusua ndo lina maana hyo.....sasa watt wanaelewa maana unayoijua ww?? Au na ww unashiriki katika kulisambaza na kulipa maana mbaya?? Fikiri kabla ya kuropoka bhana.
Kutusua enzi zetu maana yake ni kunyofoa nyama toka kwa mfupa ama nyama kubwa kwa kutumia meno ili ule vipande vidogo vidogo. Kama washika nyama kwa mkono unatusua kwa meno ya mbele kwa kuila mpaka inaisha.
Punguani Kiingereza chake ni "fool".
Kutusua ina maana mbaya ipi??Kuna Tangazo linatoka ITV la TMT linalosema mpaka utusue, mpaka kieleweke, mpaka ukome. Sasa hili neno 'mpaka utusue' maana yake nini? Kwa sisi wa miaka hiyo, hili neno lina maana mbaya, na ubaya tangazo hili mpaka watoto wanaangalia.
Duh nlikuwa sijui kama kutusua ndo lina maana hyo.....sasa watt wanaelewa maana unayoijua ww?? Au na ww unashiriki katika kulisambaza na kulipa maana mbaya?? Fikiri kabla ya kuropoka bhana.
Walewale wa kugegeda.
Kikwetu kugegeda ni kutafuna, sasa kutafuna sijui ni tusi.
Wewe itakuwa katika ile listi ya watoto wa mama uliyesahauliwa. Ambao kila mwanamme ajae kwao huambiwa "mwamkie baba'ko".
Fool ni mpumbavu. Punguani ni ukichaa fulani hivi = mental disturbance
Wewe itakuwa katika ile listi ya watoto wa mama uliyesahauliwa. Ambao kila mwanamme ajae kwao huambiwa "mwamkie baba'ko".
Upuuzi unaombatana na kufumuliwa marinda ndo tatizo la kilemba cha ujuha.
Kutafuna nn?? Maana siku hizi kila neno linaelekezwa kwanza kwny maana yake mbaya kisha wanakutaka ufafanue kama ndiyo uliyomaanisha.
Kutusua ina maana mbaya ipi??
Kutafuna huelewi?
Ukila hutafuni? Baadae hadi kula litakua tusi.
Nini maana ya kutusua? Tukishapata maana halisi ya neno hili tujadili.Vinginevyo zitakuwa mis-interpretation tu.