Wapi kifimbo cheza na wachavuzi wa lugha?
Hapana hili tangazo linawalenga wanawake kumaanisha wao ndio wanatabia hiyo...si unaona ilani kwa maandishi mekundu yameandikwa kwa ajili yao? Wanaume hatuhusiki hapo...sie tunaendaga vya kulipiaWalishajua wanaume ni mabingwa wa kufungua flais hata barabarani!!! Wanasetiri wanawake hapa. Aibu sana kwa mameni.
Lugha za watu za kujifunza kidogo kidogo tutafika
Umeona ehee? Eti POLINI, sijui ndio wapi huko? Hilo neno la kiinglishi linaloanza na "R" nitawasamehe. Sijui nani aligharimia utengenezaji wa hilo bango.
Tiba
Nilijua mambo ya slang ya kiswahili si unajua tena, mara xaxa, xixi, xana nk lugha ya kuzaliwa nayo uzuri wake unaigeuza unavyotaka tofauti na ya kujifunzaMkuu:Hapo hata ya kwetu yenyewe imechapiwa: "polini" au porini?
Nilijua mambo ya slang ya kiswahili si unajua tena, mara xaxa, xixi, xana nk lugha ya kuzaliwa nayo uzuri wake unaigeuza unavyotaka tofauti na ya kujifunza