Hili tangazo eatv linamaanisha nini????

Hili tangazo eatv linamaanisha nini????

angedizzle

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
590
Reaction score
506
Kuna tangazo moja EATV linaonyesha bodaboda likiwa na bendera la Uganda,Bajaj ikiwa na bendera ya Tanzania,na basi kama Coaster ikiwa na bendera ya Kenya yakiwa yameongozana....................nini lengo la tangazo hili??????????

(haya wale wa "hapo kwenye red"......................)
 
hii thread yako inamaanisha nini??
 
ile pale inamanisha together tunawakirisha. ukiangalia vizuri utaona kuna bendera zote za east africa. ule ndo usafiri unao patikana east africa. mia
 
Boda boda n usafir maarufu sana Uganda hasa kampala,BAJAJ n maarufu sana Dar,unaziita ww n coaster wenzako kule Kenya hasa nairob wanaita Tattoo so ndo usfr unatmika ktk nch hz za afrika masharik so kwa vle n tv ya vjana nahc imejarbu kuelezea vijana wa afrika mashariki na husle zao kupitia hivyo vyombo vya usafir.'Samahan lkn N jins m navyofikir naruhusu kusahishwa'
 
Weka hiyo picha tuone........wengine bado hatujanunua TV....ili tuweze kukueleza hiyo picha Ina maana gani.........
 
Usiumze kichwa chako bure @Uganda wanatumia bodaboda ss bajaj Kenya wameendelea Coaster
 
Nairobi hakuna usafiri wa Coaster mkuu, na uliopo unaitwa "Matatu" na sio "Tattoo".

Back
Top Bottom