Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Wewe ni mwanaume;
Ni mara yako ya kwanza kukutana na mwanadada; unaanza kujenga ukaribu naye na mda unavyoenda unaona anaelekea kuwa nawe kimaongezi na kimawazo zaidi. Siku zinapita, unamvutia subira ili walau uweze kumfahamu vizuri. Siku ya siku unajaribu kumgusia suala la mambo fulani anajizungusha - at the end anaibuka na swali la hivi ......
"Kwani we una bei gani?" Utalichukuliaje swali hili?