Hili swali unalichukuliaje?? ...

Hili swali unalichukuliaje?? ...

Wewe ni mwanaume;
Ni mara yako ya kwanza kukutana na mwanadada; unaanza kujenga ukaribu naye na mda unavyoenda unaona anaelekea kuwa nawe kimaongezi na kimawazo zaidi. Siku zinapita, unamvutia subira ili walau uweze kumfahamu vizuri. Siku ya siku unajaribu kumgusia suala la mambo fulani anajizungusha - at the end anaibuka na swali la hivi ......
"Kwani we una bei gani?" Utalichukuliaje swali hili?

Kwa kwelii ni muuzaji huyo loud and clear yan..!!
 
duh!nitauliza bei yake nianze kubagain nae!
 
NIlipoulizwa swali la bei nilimwambia kuhusu pesa sio tatizo, ila nilimuuliza kama ata stakabadhi (receipt/cash sale). Majibu nilopewa ni kwamba eti nina dharau. Nilikosea wapi waungwana.
Kila noti ya Tanzania imeandikwa hivi "FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILLINGI ............... " Je ni fedha gani halali kwa malipo ya 6 x 6?????
 
kitu clear....na wewe unamwaga sera zako...zikishabihiana....lets go....kama no...sambaratika...maisha yanasonga....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom