Hili sio kosa la kwanza la Tundu Lissu

Huna akili watu watoke upande mmoja kisa wana uwezo, je upande mwingine hawana uwezo? Tunapomsifu Nyerere kuwa alituunganisha kwa kutuchanganya makabila yote una mwona hakuwa na akili. Huwezi nchi yenye makabila mengi kama hii ukachukua watu wa upande mmoja eti kwa kisingizio kwamba ndio wenye uwezo, mbona shule ziko kila kona ya nchi hii kwa hiyo hizo shule nyingine hazitoi watu wenye uwezo isipokuwa za kanda moja tu.
Fatilia record vizuri ya watangulizi wa Rais magufuli, utakuta serikali zote ziliweka watu wa kanda zote. Na mh Rais Magufuli kajitahidi zaidi kwa kuingiza hadi wapinzani.
 
Niyapi Uongo?Hu Utawala Unafuata Sheria?Au Una Maslah Nahuu Utawala?
Si kila aliye na mtazamo tofauti na wako ana maslai. Si hitaji kurudia aliyosema nitakuwa sina tofauti na akili zake
 
Mmeanza lini kujua kwama uongozi ni uwezo? si nyie mlikuwa mnaleta siasa chafu kwamba cdm ni chama cha wachaga baada ya kuzidiwa hoja kisa mwenyekiti wa cdm ni mchaga? Si nyie mlikihusisha cdm na ukristo kisa Dr.Slaa alikuwa padri mstaafa wa kanisa katoliki? Ule upuuzi mlidhani ungeishia pale. Sasa mtazamo ule mliotumia kikichafua cdm iweje leo wengine watumie jicho lilelile mlilotumia nyie muone Lissu kakosea? Vuneni mbegu mliyootesha ili mjifunze siku nyingine kwamba siasa za majitaka hazilipi.
Moja Nashukuru kwakujua Lissu anafanya siasa za majitaka. Pili two wrongs will never make it right.
 
Szani kama akili yako ww iko sawa na siku zote mjinga au mpumbavu utamuelewa tu kwa ujinga wake nn maana ya uongozi wa jumuia yote ya kitanzania?hv hii nchi ni ya familia moja au ya watanzania wote ?ww pumbavu kweli, yaani mtu kusema ukweli unasema mchochezi unaakili kweli ww?tuambie upi uchochezi hapo kama c ukweli au unakalilishwa?tuambie upi uchochezi hapo ww mwendawazim? Mmbinafisi ww mwenye u ww,hivi mmerogwa na nani wajinga nyinyi yaani 2+3=10 unasema eti sawa ki ukweli tuendako kunagiza kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kutoka povu. Mtu yeyote anazungumza ukabila au udini, anayo shabaha ya kuligawa taifa
 
Moja Nashukuru kwakujua Lissu anafanya siasa za majitaka. Pili two wrongs will never make it right.

Wakati mnatumia kete ile tuliwakanya hamkusikia kwa kuwa ile kete ilikuwa inawatoa. Leo wananchi wote wanaangalia uteuzi wa mtu wa kigezo cha kabila, dini nk. Sasa mbegu muoteshe wenyewe kisha mkimbie mavuno. Tulieni mmefanya upuuzi mwingi sana nchi hii kuanzia mikataba mibovu mpaka kuchezea katiba ya wananchi kupitia rasimu ya Warioba. Mnataka tuanze upya katiba ya Warioba irudi mezani, ipite neno kwa neno, nukta kwa nukta. Kinyume na hapo kisu mlichonoa ndio kitakachotumika kuwakatia.
 
Kamanda siro alipowatembelea wanakibiti aliwaambia wajilinde wenyewe.
Iliandikwa na hata humu jamvini.
We au masikio yako yanakasoro au sehemu ya ubongo inatafsiri ndivyo sivyo. Alichokimaanisha ni kuwa wao pia ni sehemu ya ulinzi kwani watuhumiwa wanaishi miongoni mwao. Hivyo wakianza kujilinda wenyewe itakua rahisi hata kwa dola
 
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.

Kumbe Lissu ni punguani, sasa mahakamani kufanya nini na mpungukiwa akili?!
 
Huna haja ya kutoka povu. Mtu yeyote anazungumza ukabila au udini, anayo shabaha ya kuligawa taifa
Mkuu kuligawa vp?mtu kusema kweli ni makosa?au unakuwa na tabia za shetani kuugeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ,kuligawa taifa kweni sasa iko vp,kama sio ukweli uliopo?haya pesa za serikali zinazo nunua madege,kujenga kiwanja cha ndege zimeizinishwa wapi ikiwa bunge hukijui hata bei na garama za ujenzi huo?wakati bunge ndo waidhinishaji wa fedha za serikali kama sheria za nchi zisemavyo?au mnafuata ushabiki badala ya sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
Rubbish
FB_IMG_1499069437188.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye uwezo wa kujibu hoja za Lisu nchi hii isipokuwa Lisu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom