Hili sio kosa la kwanza la Tundu Lissu

Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
Naona Lissu anakuchochea kisawasawa !
 
ANGEKUWA HANA AKILI ANGEWEZAJE KUKUBWAGENI KWENYE KILA KESI MNAYO MSHITAKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utahira wenu na ujuha ndio umuhamishie wakili msomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu hajawahi kufanya kosa lolote na wala hajawahi kuwa mchochezi. Ingekuwa amewahi kufanya makosa hayo CCM isingemwacha awe uraiani hadi leo. Acha auseme ukweli kwa manufaa ya watanzani.
 
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
We mwanke ningekuwa kijana ningekupachika mimba na kuikataa
 
Kwa aliyoyafanya alifanya akiwa nanakili zake timamu kama amekosea wakutane mahakamani akawabwage kama ilivyo ada
 
Huna akili watu watoke upande mmoja kisa wana uwezo, je upande mwingine hawana uwezo? Tunapomsifu Nyerere kuwa alituunganisha kwa kutuchanganya makabila yote una mwona hakuwa na akili. Huwezi nchi yenye makabila mengi kama hii ukachukua watu wa upande mmoja eti kwa kisingizio kwamba ndio wenye uwezo, mbona shule ziko kila kona ya nchi hii kwa hiyo hizo shule nyingine hazitoi watu wenye uwezo isipokuwa za kanda moja tu.
Mkuu huna haja ya kupaniki. Wakati wa mwalimu kuna wakati safu ya uongozi wa juu ilikuwa hivi.
Mwanasheria mkuu warioba kanda ya ziwa
Jaji mkuu alikuwa nyalali kanda ya ziwa
Mkuu wa majeshi musuguri kanda ya ziwa
Mkurugenzi wa usalama wa taifa gama shemeji wa mwalimu
Joseph Nyerere mkuu wa mkoa Kilimanjaro.
K
Butiku katibu myeka ikulu ndugu wa Nyerere.
Hakuna watanzania waliokuwa wanahoji ukanda, dini, wala kabila. Walikuwa wanaangalia ufanisi wa kazi tena wakati ule wasomi walikuwa wachache.
 
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine. Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.
Szani kama akili yako ww iko sawa na siku zote mjinga au mpumbavu utamuelewa tu kwa ujinga wake nn maana ya uongozi wa jumuia yote ya kitanzania?hv hii nchi ni ya familia moja au ya watanzania wote ?ww pumbavu kweli, yaani mtu kusema ukweli unasema mchochezi unaakili kweli ww?tuambie upi uchochezi hapo kama c ukweli au unakalilishwa?tuambie upi uchochezi hapo ww mwendawazim? Mmbinafisi ww mwenye u ww,hivi mmerogwa na nani wajinga nyinyi yaani 2+3=10 unasema eti sawa ki ukweli tuendako kunagiza kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma ni kweli, hivi kuna sababu yeyote ya kuhahangaika na mtu mwenye upungufu wa akili. Tangu lini mgonjwa wa akili anashugulikiwa na vyombo vya dola badala ya kusaidiwa!!?
msaada hata kwenye dola upo inategemeea aina ya msaada, nafikiri wameanza kumsaidia
 
Back
Top Bottom