Hili sio kosa la kwanza la Tundu Lissu

Bado hujaelewa wajibu wako katika ulinzi wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi haitambui wajibu wake wa kunilinda kwa silaha nilizozinunua mimi mwenyewe!
Mimi nawalipa mishahara yao!
Mimi nawanunulia vitendea kazi vyao!
Mimi nalipa viinua mgongo vyao!
Mimi nagharimia matibabu yao!

YOTE HIYO ILI WANITUMIKIE.

Wanilinde "tafazali"
 
Nimejaribu kumtafakari sana Tundu Lissu kama anayoyafanya huwa anatafakari kwanza kabla kutenda, baadae nimekumbuka kuwa itafika muda atabadili gia angani tena. Na hao wanaomuunga mkono watabadilika pia. Sishangai sana kuona neno viva Lissu viva ni suala la kusubiri muda ufike tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom