JOMAM
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 330
- 139
Toka alipotoa maoni yake kwenye vyombo vya habari kuhusu kile anachokifikiri kwa utawala wa awamu ya tano mh Tundu Lissu amekuwa mjadala kwa makundi mbalimbali nchini.
Pamoja na maelezo mengi ya kichochezi aliyozungumza mh Lissu, hili si kosa lake la kwanza kwa watanzania.
Ikumbukwe mh lissu alisha wahi kutoa dhihaka kwa mwasisi wa taifa hili Mwl Nyerere na kuwafanya watanzania kujiuliza juu ya uwezo wake kiakili.
Tamko lake la juzi limedhihirisha kuwa si tu anaupungufu kiakili lakini hata nafasi yake ya uongozi inatakiwa kutazamwa mara mbilimbili. Mh Tundu lissu ametoa madai ya kupendelewa kanda ya ziwa akasahau aliko chadema Mh Mbowe ni mwenyekiti na anatoka kaskazini na mh Lowassa alikuwa mgombea urais akitokea kaskazini, sitowataja wengine...
Lakini nitoe tu rai wakati tukiwa tunatafakari nafasi ya uongozi kwa mtu kama lissu,ni vyema kutoa matamko yasiyo ya kichochezi au kulenga kukejeri kundi moja dhidi ya jingine.
Nafasi ya uongozi ni kwa mtu mwenye sifa na si kwasababu ya ukanda hata wote wangetoka eneo moja kama wanasifa kwanini wasiwe? wawe wa kaskazini au mashariki au magharibi swala ni uwezo na si mengine.