Hatareeee! Analeta Masikhara na mama naniiii!Hahah mama naniiii anataka wewe unasema umechoka unalala sio kirahisii
ndugu hakuna njia ya mkato kukusaidia kuondokana na hali hiyo unachotakiwa kufanya nenda kanisani mazima mazima kajieleze kwa mchungaji shida yako hiyo akuombee ili hali hiyo ikutoke umevamiwa na jini mahaba ambalo limechukua nafasi ya upendo kwa mkeo na hivyo kushindwa kumtamani mkeo hujisikii kumfanya, unajisikia uchovu mda mwingi nakushauri chukua hatua hiyo nawe utafanikiwa na kurejesha furaha na mapenzi kwa mkeo ndugu..Imebidi niseme maana nimewaza sana siku ya leo nikagundua kuwa imetokea mara kadhaa sasa ni nini? Kuna kipindi wife aliwahi kutamka kuwa huenda nachepuka, aliongea kwa upole sana na mimi sikumjibu kitu siku hiyo
MKUU HUO NI UPUUZI MTUPU WACHA KUAMINI MAMBO HAYOAsante, Wsaria najua penye wengi hapakosi maarifa watakuja