Hili nikilifumbia macho litaniumiza kimapenzi

Lol! Hii imeaniacha hoi! Kwamba jamaa kazimika na so called uchovu wake halafu huku mamsapu anajisevia.

Hahah mama naniiii anataka wewe unasema umechoka unalala sio kirahisii
 
Sijui sijakuelewa vizuri? umesema miezi mi4 unatatizo hilo? je miezi yote hiyo mi4 hujisiikii hata ukimuona mwanamke mwengine nje au ni wife wako tu? manake sio rahisi mpaka mkeo kukufata ujue amejikaza na wewe hata kama hamu huna basi hata kumdanganya ndio unajiendekeza hivyo?
fanya mpango umuone ustaz mapema sana na kama ni muislam penda sana kulala ukiwa na udhu na soma Ayatul kursi na muombe mungu sana usiku akuepushie na kila shari za Binadamu na majini.....
 
Kwanza punguza hasira! maana hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Kwani hukuwa na njia nyingine ya kumfurahisha mwenzio ili alale kwa raha nae, ndoa inatakiwa ifurahiwe na nyie wote. We unataka achepuke au?, hayo yanayokupa inawezekana ni kwasababu ya wewe kutotambua FURAHA YA MKEO! Furahia ndoa yako acha mawazo mabaya!
 
Duuuh comment zingine inabidi nicheke tu
 
Mwambie yf akulie timing ukiwa unaota nae a engage gear aendelee maana utakuwa kwenye free zone, hio hamu itakuja tu ... Case closed
 
Nimpendenani, swala liko hivi sio kila wakati lkn naweza kusema hali na frequency ya kufanya mapenzi mae imepungua sana, na zaidi nimeanza kushtuka baada ya kuona hili swala limeanza kuathiri hata mamno yangu ya kazi nilipotathmini nikagundua imenitokea mara kadhaa ndani ya miezi minne hivi.

Dushe liko poa lkn sina ile initiative power na hata anaponibembeleza naona ananiboa tu.maana hapo najali usingizi tu.

Kuhusu kutamani wanawake wengine ni kweli nawatatamani lkn sijamsaliti mamsup.
 
Dundo boy Mungu akubariki kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.

Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu nampenda lakini nilikuwa sijisikii kufanya nae mapenzi licha ya yeye kunibembeleza sana kiasi cha keleta usumbufu nikashindwa kulala vizuri na nimejikuta leo nachelewa kazini.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mda nilipopata usingizi nilipata ndoto nyevu hadi kujikojolea. Na hili limetokea mara kadhaa tangu miezi minne hivi iliyopita.

Sasa najiuliza hii ni nini huku nabembelezwa nyapu halafu najisikia uchobu balaa na hapohapo naota ndoto za ku do?
Nimejikuta naanza kumchukia mke wangu kwa kusababisha nichelewe kazini na hapa naandika nikiwa na hasira sana, naombeni ushauri kama nina tatizo nipate ufumbuzi.
Mtafute mshenga wenu umueleze hili jambo
 
Hilo pepo ndugu yangu; piga magoti umuombe Mungu; ukiachilia hilo, utaingiza matatizo makubwa ndani ya familia yako; na hakuna haja ya wewe kumkasilikia mke wako; ukirudi nyumbani ukishapumzika; mwiite chumbani mke wako harafu muombe msamaha kwa kilichotokea, lakini kabla hujafika nyumbani, pita super market au botiki yeyote mnunulie mkeo zawadi.

Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.

Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu nampenda lakini nilikuwa sijisikii kufanya nae mapenzi licha ya yeye kunibembeleza sana kiasi cha keleta usumbufu nikashindwa kulala vizuri na nimejikuta leo nachelewa kazini.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mda nilipopata usingizi nilipata ndoto nyevu hadi kujikojolea. Na hili limetokea mara kadhaa tangu miezi minne hivi iliyopita.

Sasa najiuliza hii ni nini huku nabembelezwa nyapu halafu najisikia uchobu balaa na hapohapo naota ndoto za ku do?
Nimejikuta naanza kumchukia mke wangu kwa kusababisha nichelewe kazini na hapa naandika nikiwa na hasira sana, naombeni ushauri kama nina tatizo nipate ufumbuzi.
yangu
 
we umeshamchoka mke wako
uchovu wa miezi minne upoje huo
 
Ndg.Mpendwa... Pole sana !! ila punguza MISONGO (tatua mambo ya kazi/urafiki/kijiweni nk huko nje ) Ukifika home uwe Romantic hata kisaanii (act frendly) halafu KUNYWA KAHAWA 4 cups a day ukiweza kula lozi/nuts !! after three day lete MAREJESHO hapa !!!
Good LUCK "mpende akupende utatakakupendwa usipendwe!!!
 
Ngambako asante kwa ushauri wako naanza kuona nimemkosea sana mke wangu, lkn si makusudio yangu
 
Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.

Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu nampenda lakini nilikuwa sijisikii kufanya nae mapenzi licha ya yeye kunibembeleza sana kiasi cha keleta usumbufu nikashindwa kulala vizuri na nimejikuta leo nachelewa kazini.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mda nilipopata usingizi nilipata ndoto nyevu hadi kujikojolea. Na hili limetokea mara kadhaa tangu miezi minne hivi iliyopita.

Sasa najiuliza hii ni nini huku nabembelezwa nyapu halafu najisikia uchobu balaa na hapohapo naota ndoto za ku do?
Nimejikuta naanza kumchukia mke wangu kwa kusababisha nichelewe kazini na hapa naandika nikiwa na hasira sana, naombeni ushauri kama nina tatizo nipate ufumbuzi.
mshana jr
 
Asante, kiasili nilikuwa sipendelei sana nut foods lkn itanilazimu nivitumie kwa manufaa ya ndoa yangu
 
Back
Top Bottom