Hili ni pepo au?

Hili ni pepo au?

kwahiyo ushauri uliouona ni kufanya ujinga tu??? pole sana yan ungejua jins gan i hate being bk kwanza najuuuta kupangiwa kazi kwa hawa binadamu! ninafanya nao kazi waume kwa wanawake so i know them very well n i will not dare to do so labda niwe nimerogwa!!! poor Dr.mo.
...soma thread zako na coment zako alafu nisome tena utanielewa...tuliza akili...
 
...haya bana..wengine tunajua upo serious

not really doctor ts not that serious jaman tunabadilishana mawazo kidizain tu!! u know these jf guys are so funny eeeehh siriaz everyday they made my days in different ways!!!
 
yaani humu mnabalaaa jamani!! i see most of women supprting men n men supporting women ama kweli vice versa is true!! i said most not all!!
 
Kuna wanaume wanatudhalilisha saaana. Inakuwaje mwanamke anasema mihamu inajikusanya kama chemchem msimu wa mvua? Au eti hafikishwi ghorofa ya mwisho!!!!!?
we mahondaw!!!! Kuja huku kwetu zanzibar upewe vituu vya maana uishie kuota jua kila siku hadi ukituona wanaume unasema kazi ipo.....
 
Kuna baba yangu mdogo yuko huko ni mwanajeshi yuko kona ya Rwamishenye hapo mtafute yaani anatibu sana watu wenye magonjwa ya nye.ges.
 
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa!

Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumaliziap li
kizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima!

Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?




Unaweza kuwa unampigia hata simu. Umpendae na ukawa unajadili matukio mlokua pamoja.baada ya muda hii hali itakimbia.ukijaribu kumtafuta wa kupooza hutaacha utahangaika kila wakati
 
Back
Top Bottom